sikujua hilo,ila hawa majamaa hawatuumizi kichwa,wakikabwa vizuri yaani attact kama 3 huwa wanakatika,ndo maana arsenal ilisawazisha,hawa majaMAA wanahitaji mpira wa fasta kushambuliwa,wakifungwa halftime baada ya hapo hawana spirit,ishu ni kwamba wanapiga mabuti just kuwa makini wachezaji wetu wasiumizweNdiyo mkuu Viol;
Everton fc na Liverpool fc ni timu zinazotoka katika jiji la LIVERPOOL {kaskazini mwa Uingereza} hizi ni timu za mtaa mmoja ..
Kwa hapa Tanzania tungesema kama vile kule Tanga; kuna African Sports na Coastal Union..timu moja barabara ya 11 nyingine iko barabara ya 12.
Everton Fc ilikuwa timu ya kwanza kabisa kuanzishwa...baadaye ikaanzishwa Liverpool Fc..
mapunziko wapi tena mkuu,tungekuwa mitaa ya bongo,ningekutmia safari kama 5wakuu tuendelee na mjadala...ngoja nipate mapumziko mafupi nitarudi kwa nguvu zaidi baadaye..cc Mentor, andybird314, Viol, etc...:hungry:
mapunziko wapi tena mkuu,tungekuwa mitaa ya bongo,ningekutmia safari kama 5
sikujua hilo,ila hawa majamaa hawatuumizi kichwa,wakikabwa vizuri yaani attact kama 3 huwa wanakatika,ndo maana arsenal ilisawazisha,hawa majaMAA wanahitaji mpira wa fasta kushambuliwa,wakifungwa halftime baada ya hapo hawana spirit,ishu ni kwamba wanapiga mabuti just kuwa makini wachezaji wetu wasiumizwe
![]()
sina la kuongeza.
Kweli hakuna cha kuongeza maana same names speaks for itself.
HAZARD
ha haha mimi nimerudi Bongo tangu mwaka jana...
itabidi niweke sawa 'profile'.yangu..bado uko huko 'shamna'?
sipo shamna kaka ingawa umenijibu kwa uchokozi wa location,sina budi,nipo kwa Putin
uzuri ni kwamba zamani mechi za kukutana na timu ndogo zilituaibisha,but now tunachapa pote poteni kweli; huwa wanakatika..lakini kabla wakatike lazime pachimbike..jumamosi itakuwa mechi nzuri sana. Na ushindi wa jumamosi utaimarisha sana 'DNA' yetu kama alivyosema kocha wetu JOSE MOURINHO.
ha haha hah a kabisa...
tena mie nashangaa mabeki hawawezi kumzuia kwa sababu unapomwona akijikunja ujue goli hiloo...
:A S-eek:
Ndo ushabiki wangu unapokuwa kwa SKA MOSCOW,AU SPARTAK MOSCOW,DYNAMO MOSCOW,ILA TIMU ZA KAMA HIZO ZA ZENITH YA PETERSPURG HUWA SIWAKUBALI,JAMAA WABAGUZI,HAWAPO JIJINI WAPO HUKO JOHESPERG,NA NDO WANAONGOZA LIGI NA NOW WANAONGOZA,ILA TUNAJUA SKA YA HAPA ITACHUKUA TU.AYAA mwendo wa vodka tu; asubuhi maandazi na vodka, mchana tambi/viazi na vodka na usiku vodka...:wacko:
![]()
hii ilikuwa FA CUP FINAL - MEI 2009.
CHELSEA FC 2 - 1 EVERTON.
huyu mtu mweusi alifunga goli kwenye fainali hiyo. mtu pekee "mweusi" kufunga katika kila fainali ya FA aliyocheza.
DIDIER DROGBA 'SIMBA MZEE' HABARI NYINGINE..KUNAPOKUWA NA KOMBE UWANJANI.:first:
EPL na ligi nyingi sana Duniani zinaogopa sana kukutana na Chelsea.
Timu zingine zinajifua ili ziifunge Barca ila Barca inajifua ili iweze ifunga Chelsea.
Ukiona hivyo jua Chelsea ni noma sana.
Msimu uliopita tuliweka mfano bora kuwa pale EPL hatupigwi hovyo na wanaojiita wakubwa