Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #17,261
Huyu jamaa mechi ya juzi alipiga kiwango kimoja cha hatari, utasema ni forward kumbe beki.
Huyu jamaa mechi ya juzi alipiga kiwango kimoja cha hatari, utasema ni forward kumbe beki.
angebaki apiganie namba..hufanyi hvyo kwa kocha..cheki wenzake wanavyomshangaa..:A S-eek::A S-eek:
Huyu Mata alitaka kuwa na uwezo kuliko hata Kocha, bora aliondolewa na kwenda timu ambayo inaanzia second round. Ya Saba na UEFA haipo
![]()
We have 5 players on EPL squad of the week from EPL official
Its Five.
Eden, Fab,Ivanovic,Costa, T. Courtois
Watatuelewa tu msimu huu, si wanajifanya hawaoni. Ngoja tu.....
![]()
Dokta Eva akipata ile inaitwa 'ice bucket' challenge.. ha haha
"Juan Mata can only play in a side that is completely dominating the play.
Dah hawa Man U nina hamu nao sana natamani tuwapige hata Goal 12 hivi.