EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
mimi nataka mechi ijayo vs Everton; Andre schurrle aanzie benchi; tumuanzishe Willian..willian anaufundi mwingi wa mpira kuliko Andre. Vijana wa Everton watatoa upinzani mkali sana jumamosi ijayo.
Willian anakaa na mpira, msumbufu, mbunifu, king'ang'anizi..yaani kama Hazard. Ila tofauti ni kwamba Willian ana kasi na maamuzi ya haraka.
Kama ikiwezekana..Oscar pia aanzie benchi kwa sababu amechoka sna na kombe la dunia. Mohamed Salah acheze pembeni; Willian acheze jukumu la Oscar.
Oscar na Schurrle waingie kipindi cha pili; iwe isiwe tutafikisha pointi 9 jumamosi. kama kawaida yetu; one match at a time..
I think you trying to undermine Schurrle and Oscar in favour of William. You need to go into the details kujua kuwa these players are different.
Mfano Schurrle is different from all other Chelsea's players, with the exception of may be Diego Costa.
Kama walivyo akina Hazard, Oscar na wengine, William prefers to run on defenders.
But Schurrle, kwa kutumia speed yake, prefers to run behind defenders.
If you want to see the best of Fabregas, you need to have players who can get behind defenders.
Angalia kwenye picha hapo chini, from nowhere Schurrle yupo nyuma ya madefender wawili which made it easy for Fabregas to drop the ball there.
Enzi za Lampard, Schurrle became ineffective kwa sababu kama Lampard angekuwa hapo alipo Fabregas angeshoot badala ya kuunyanyua mpira juu na kumpatia Schurrle aliyekuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kufunga.
Kama Fabrages angeshoot hapo, either mpira ungehit defender, ungepaa, kipa angepangua, au ungeingia nyavuni.
Hii ni tofauti kabisa na alipo Schurrle angehit target kazi iwe kwa kipa.
Pia ni muhimu kutosahau role ya Oscar in that attack. Alicheza as a pure number 10.
Pia kuna watu wanaunderestimate role ya oscar kwenye goli la kwanza dhidi ya Leicester City.
Kwenye mechi ya Leicester City, inaonekana walipracticejinsi ya ku-deal na Schurrle.
Sina maana kuwa William ni mbaya. Hapana. Kuna mechi ambazo zinamfaa William na ambazo zinamfaa Oscar.
Mechi dhidi ya timu kama Liverpool na Man City, Oscar anawekwa benchi in favour of William.