Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

oshea anamfanfia faulo alhaj anelka

free kick
 
kama una access na tv plus ya chelsea

unaweza chek game online
ni hela lakini sio bure
 
chelsea wanafanya mashambulizi hasa, dk 27 anelka kidogo amuue ibilisi(mashetani)
 
mwanangu blanca analia hapa ngoja nimpelekee mama yake
 
carick kapiga shoot 25 yard lakini inakuwa fyongo
 
Jamaa wamechoka choka. Naona Capello naye kawapiga mkwara baadhi ya wachezaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom