NAANZA KAZI...# 2.
jana pia kipindi cha pili kama Mohamed Salah angeingia mchezo ungechangamka sana.Kwa sababu Mo Salah ana chenga hatari na mbio..
Kijana wetu Schurrle huwa ni mchezaji mzuri lakini dakika 90 ni nyingi sana kwake. Kwa uwezo wa wachezaji wetu ikitokea Schurrle ameanza anacheza hadi dakika 60 anapisha Mo Salah.
Pia, Willian da Silva bado amechoka na kombe la Dunia. Kitaalam willian ni mchezaji mzuri kwenye mechi vs Arsenal, Spurs au Swansea; timu ambazo wanaweza mpira chini. Hawa madogo wa jana wanacheza mpira mgumu kidogo kwa Willian kustahimili.