Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kuna mkuu mmoja alisema kwamba eti zile mechi za jumamosi na jumapili zilikuwa sawa na 'mapambano ya utangulizi' kwenye ngumi, Mechi ya ukweli ilikuwa jana. Mpira wa karne ya 21. Ha ha aha raha sana CHELSEA FC. Wapinzani kimyaaa:angry::angry::angry:

Hakuna raha kama kuangalia Chelsea ya msimu huu. I'm happy.
 
sasa baada ya mechi ya jana unaweza kufananisha Sanchez na Diego Costa au Fabregas?

usajli wetu ulikuwa makini sana msimu huu. tumeziba tu mapengo ya msimu ulopita baasi; mashine iko sawa; hapa Hazard, pale Oscar; kule Schurrle...mara Ivanovic..qwi qwi alaf kwa dharau ya mpira Petr Cech anangoje benchi..two best goalkeepers.
hamna mtu alieonyesha makeke yake bwana!!
 
1408394218317_wps_2_AUGUST_18th_2014_BURNLEY_.jpg
 
Wakuu tuweni kitu kimoja; maana huu msimu wa kushangilia ushindi tu. Chonde chonde msiende mbali na jukwaa hili.
Umoja ni nguvu.
cc. Ntuzu, Mentor, FUSO, kunguru mjanja, Grand PA, na wengine wote CHELSEA FANS. :grouphug:

Mimi nishatangaza mapema kuwa sisi ndio washindi. Kile kikosi kitaumiza watu wengi sana trust me
 
kuna mkuu mmoja alisema kwamba eti zile mechi za jumamosi na jumapili zilikuwa sawa na 'mapambano ya utangulizi' kwenye ngumi, Mechi ya ukweli ilikuwa jana. Mpira wa karne ya 21. Ha ha aha raha sana CHELSEA FC. Wapinzani kimyaaa:angry::angry::angry:

it was just BURNLEY au[BARNSLEY hata sijui ni ipi] my brother not a big deal though u won beautifully!
 
Wakuu tuweni kitu kimoja; maana huu msimu wa kushangilia ushindi tu. Chonde chonde msiende mbali na jukwaa hili.
Umoja ni nguvu.
cc. Ntuzu, Mentor, FUSO, kunguru mjanja, Grand PA, na wengine wote CHELSEA FANS. :grouphug:

wewe utakuwa wa kwanza kukimbia hapa na kusingizia majukumu....na Ntuzu hivyo hivyo hachelewi kukimbia na kusingizia majukumu
 
Last edited by a moderator:
Msamaha wako umesikika mkuu ......... tehtehtehteh
mkuu ila hamkunielewa labda mwanzoni.

Mkuu Viol ni 'mwanangu' ila sema upepo tu uligeuka kidogo. Sina ubaya naye..one love Chelsea!

nilisema kabisa kuwa Diego sikuona mechi zake nyingi zaidi ya ile ya uefa ambayo ATM walitufunga na kwenye kombe la dunia ambayo hajafunga goli wala kutisha(ingawa mchezaji mzuri utamgundua position anazotafuta na kukaa ndo sifa aliyonayo Diego kombe la dunia),na baada ya kuona mechi za chelsea hizi za friendship nilipoona goli zake na assist pia nilikuja kupost humu kwamba jamaa anajua kaniprove wrong,....Sanchez nilikuwa namfaham kwenye mechi za barca,nadhani hata wengi wanaangalia mechi za barca kwa vile tu ina jina au imeingia kwenye michuano mingi.
Hata hivo hiyo haikua hoja yangu kupingana na nye maana nilishakubali baada ya kumwona diego,hoja iliyozua haya ni kwamba niliposema Drogba anajua kukwepa mabeki au kutafuta position kuliko Diego,hiyo ndo iliyoleta ubishani ila kuhusu diego na sanchez mlirefer back kwamba ulishasema hivi,bila kuona post yangu niliyosema diego kaniprove wrong akiwa hapa chelsea,so nilishacancel siku nyingi kwamba sanchez ni bora (nishakubali na nimeona kiwango chake kwenye mecho za kirafiki mpaka hii ya jana nilikuwa simjui vizuri).hiyo ya sanchez vs Diego naomba tuache maana nimeshamkubali jamaa.

Ila hoja iliyosababisha haya ni ile kwamba drogba anajua kukwepa mabeki na kujiweka position ambayo utashangaa mpira umemkuta bila kutegemea na mara mnaona kafanya madhara,zaidi ya Diego,(hoja yangu ilikuwa kati ya hao majamaa kukwepa mabeki, but wote nawakubali now.
wakuu Peace & love.
Mkuu Ntuzu naomba maoni yako kwenye paragraph ya mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Yamepita mkuu; la muhimu kwa sasa the TEAM is winning; welcome to the party Viol.
wachezaji wote wazuri, Diego ni bonge la striker, Drogba bonge la striker + Chelsea legend..

We are Chelsea Fc.

mkuu ila hamkunielewa labda mwanzoni.

nilisema kabisa kuwa Diego sikuona mechi zake nyingi zaidi ya ile ya uefa ambayo ATM walitufunga na kwenye kombe la dunia ambayo hajafunga goli wala kutisha(ingawa mchezaji mzuri utamgundua position anazotafuta na kukaa ndo sifa aliyonayo Diego kombe la dunia),na baada ya kuona mechi za chelsea hizi za friendship nilipoona goli zake na assist pia nilikuja kupost humu kwamba jamaa anajua kaniprove wrong,....Sanchez nilikuwa namfaham kwenye mechi za barca,nadhani hata wengi wanaangalia mechi za barca kwa vile tu ina jina au imeingia kwenye michuano mingi.
Hata hivo hiyo haikua hoja yangu kupingana na nye maana nilishakubali baada ya kumwona diego,hoja iliyozua haya ni kwamba niliposema Drogba anajua kukwepa mabeki au kutafuta position kuliko Diego,hiyo ndo iliyoleta ubishani ila kuhusu diego na sanchez mlirefer back kwamba ulishasema hivi,bila kuona post yangu niliyosema diego kaniprove wrong akiwa hapa chelsea,so nilishacancel siku nyingi kwamba sanchez ni bora (nishakubali na nimeona kiwango chake kwenye mecho za kirafiki mpaka hii ya jana nilikuwa simjui vizuri).hiyo ya sanchez vs Diego naomba tuache maana nimeshamkubali jamaa.

Ila hoja iliyosababisha haya ni ile kwamba drogba anajua kukwepa mabeki na kujiweka position ambayo utashangaa mpira umemkuta bila kutegemea na mara mnaona kafanya madhara,zaidi ya Diego,(hoja yangu ilikuwa kati ya hao majamaa kukwepa mabeki, but wote nawakubali now.
wakuu Peace & love.
Mkuu Ntuzu naomba maoni yako kwenye paragraph ya mwisho.
 
ha haah haha RRONDO, wewe si ndo huwa unamtorosha Ntuzu mnaenda naye kwenye yale majukwaa ya wakubwa?

Mimi kukimbia ni vigumu; umesahau hata wakati nyinyi mlipoenda BRAZUCA mie nilikuwa hapa hapa jamvini?

wewe utakuwa wa kwanza kukimbia hapa na kusingizia majukumu....na Ntuzu hivyo hivyo hachelewi kukimbia na kusingizia majukumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom