Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

453783184-manager-jose-mourinho-of-chelsea-talks-to-gettyimages.jpg

Rui Faria(RF) jana hakuwepo kwa sababu bado anatumikia ile 'adhabu ' aliyopata kwenye mechi vs Sunderland msimu ulopita.

hahaaaa..."Thibaut Courtois isn't my first choice for the rest of the season. He was my first choice today. The rest of the season? Who knows?"
dogo mzuri sana! ila bado ana uoga flani hivi, especially akirudishiwa mpira anakua na uoga wa kupiga mbele, badala y kuanza na mabeki wake hata kama hawana watu.

Grand PA
 
mwanzo mgumu; lakini mtamkubali tu..huyu dogo anajua. salama kaka Grand PA, eti wewe si ulishauriwa uvae suruali siyo kushinda na hivyo kinguo? haa haha haha utani tu.

Watoto Burnley pia walicheza vizuri; kuwafunga 3-1 kwao ndo ushindi mkubwa zaidi tumewahi kupata.
Pili msimu ulopita tulipata shida sana na timu za aina hii. Kwa hiyo ukitazama kwa jicho la 3 utagundua kwamba tumefanya maendeleo makubwa sana kama timu.

Pia timu inapokuwa imefunga inatulia sana; no panic..hata mimi nilitaka magoli zaidi. But that's football ..next match jumamosi vs Leicister City..

me too bro!" we need many goals, ........... kwa mechi y jana haikupaswa turidhike na magoli ma3!" tungetakiwa tushinde hata magoli 6.magoli mengi yanasaidia mwisho w msimu.

Grand PA
 
total football. idara zote zimetimia kaka. ogopa. jana baada ya kutoka Oscar # 8, ikabidi Fabregas 'maestro' acheze nyuma ya mshambuliaji.{hilo huwa ni jukumu la Oscar}

Kisha Obi Mikel akacheza jukumu ya Fabregas{namba 8}, ..jana Matic alizidiwa nguvu kidogo na wale viungo wa Burnley..maana walikuwa wanamsumbua itabidi aongeze fitness yake. Naamini Rui Faria atalishughulikia...

Chelsea have defenders who score, midfielders who score and now a striker who can score!
 
Uwe na amani mkuu Grand PA, hakuna timu imeshinda magoli zaidi ya matatu hadi sasa.
Kuhusu kufunga magoli mengi; nadhani itanoga zaidi kuwafunga Man Utd 5, Arsenal 8, Man City 6, na Liverpool 7 maana kuwafunga 'vigogo' kuna raha yake aisee. lakini kusema ukweli timu imecheza mpira mzuri sana..wacha tufurahie kwanza ushindi mengine baadae. Naona wapinzani wa Diego Costa kimyaaaaaaaaaa.:A S-eek:

me too bro!" we need many goals, ........... kwa mechi y jana haikupaswa turidhike na magoli ma3!" tungetakiwa tushinde hata magoli 6.magoli mengi yanasaidia mwisho w msimu.

Grand PA
 
1606945_695968893786211_873492748440819151_n.jpg

What a player!
huyu dogo mchapakazi sana; hana maneno aanzie benchi au
apangwe tangu mwanzo yeye anachojali kucheza mpira.
Well done Schurrle. # 14.
 
Uwe na amani mkuu Grand PA, hakuna timu imeshinda magoli zaidi ya matatu hadi sasa.
Kuhusu kufunga magoli mengi; nadhani itanoga zaidi kuwafunga Man Utd 5, Arsenal 8, Man City 6, na Liverpool 7 maana kuwafunga 'vigogo' kuna raha yake aisee. lakini kusema ukweli timu imecheza mpira mzuri sana..wacha tufurahie kwanza ushindi mengine baadae. Naona wapinzani wa Diego Costa kimyaaaaaaaaaa.:A S-eek:

kwahio MAN UTD ndio wagumu kidogo au wachovu unatuhurumia?? maanake sisi tu ndio 5-0 wengine 6.7.8!

aisee hamna mchezaji aliniuma kama FABREGAS kwenda Chelsea.....najua nini anaweza kufanya uwanjani na jana kaonyesha!
 
Well said RRONDO. Cesc ni bonus kwa Chelsea Fc, yaani mwaka huu kuna mataji si chini ya 2; nakuhakikishia.

Hii timu ya mwaka huu inafunga hadi unafurahia...Barca hawana akili hata kidogo.

now the happy one is here!

1408397774490_wps_31_Chelsea_manager_Jose_Mour.jpg

kwahio MAN UTD ndio wagumu kidogo au wachovu unatuhurumia?? maanake sisi tu ndio 5-0 wengine 6.7.8!

aisee hamna mchezaji aliniuma kama FABREGAS kwenda Chelsea.....najua nini anaweza kufanya uwanjani na jana kaonyesha!
 
Man Utd na pamoja na Luis Van Gaal wana 'character' tofauti sana wanapocheza na wakubwa wenzao.

so we all respect tutawafunga magoli mengi lakini itakuwa mechi nzuri kuangalia.

kwahio MAN UTD ndio wagumu kidogo au wachovu unatuhurumia?? maanake sisi tu ndio 5-0 wengine 6.7.8!

aisee hamna mchezaji aliniuma kama FABREGAS kwenda Chelsea.....najua nini anaweza kufanya uwanjani na jana kaonyesha!
 
so far title is between chelsea and man city.....liverpool na arsenal tutagombania nao namba 3/4 hawana timu za kuchukua ubingwa kama sisi tu.....ubingwa labda itokee tu!
 
sasa baada ya mechi ya jana unaweza kufananisha Sanchez na Diego Costa au Fabregas?

usajli wetu ulikuwa makini sana msimu huu. tumeziba tu mapengo ya msimu ulopita baasi; mashine iko sawa; hapa Hazard, pale Oscar; kule Schurrle...mara Ivanovic..qwi qwi alaf kwa dharau ya mpira Petr Cech anangoje benchi..two best goalkeepers.
 
Fabregas mmelamba dume!!! FAB can run the show i wonder why Arsene Wenger overlooked him!
 
mwanzo mgumu; lakini mtamkubali tu..huyu dogo anajua. salama kaka Grand PA, eti wewe si ulishauriwa uvae suruali siyo kushinda na hivyo kinguo? haa haha haha utani tu.

salama tu mkuu agosti 8, yah! dogo mzuri, mi nategemea mengi kutoka kwake...... nitavaa! huku kwetu mbagala kuu joto sana tumezoea kushinda hivyo, hata akina dada wanashinda hivyo!" karibu sana uje ujionee .............hahahahahaha

Grand PA
 
Last edited by a moderator:
[h=1]Monday Night Football analysis: Man City and Chelsea have power to win title[/h] [h=2]Liverpool and Arsenal can't match physicality, say Gary Neville and Jamie Carragher[/h]
 
Uwe na amani mkuu Grand PA, hakuna timu imeshinda magoli zaidi ya matatu hadi sasa.
Kuhusu kufunga magoli mengi; nadhani itanoga zaidi kuwafunga Man Utd 5, Arsenal 8, Man City 6, na Liverpool 7 maana kuwafunga 'vigogo' kuna raha yake aisee. lakini kusema ukweli timu imecheza mpira mzuri sana..wacha tufurahie kwanza ushindi mengine baadae. Naona wapinzani wa Diego Costa kimyaaaaaaaaaa.:A S-eek:

visigino vilivyokua vinapigwa! wacha kabisa .......... nimependa assist y fab kw shurle, bonge la passi. hazard, oscar wamecheza vizur. diego pia amewaprove watu wrong! mpaka midomo kimyaaaa. sorry for him!" he should be given a penalt.

Grand PA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom