Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nilisema Arsenal na Wenger walikosea kutomrudisha Fabregas. Bonge la pande alilotoa
Wengine tulijifanya wamepata Garasa kwa Fabregas! Chelsea wanatisha Kama ukoma! hazard,Oscar,Fabregas na Mjerumani wote Assist hao na Costa ni mtemi wa mwili na anajuwa kukokota mpira wacha tu Morinho aseme timu zijitaharishe kuweka ma bus Morinho anaongea Kama alikuwa haweki Bus ila kiukweli anajuwa kujiamini Chelsea watasumbua sana lazima haki Yao tuwape, zaidi ukweli utakuja kujulikana baada 15 kwa timu asilimia kubwa.
 
77
William on Schurrle off


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
tehtehteh nimecheka sana kazi ndio kazi kaka wewe mtangazaji endelea tu utafanyaje maji yaoge tu haimanishi unaipenda Chelsea tupe matokeo kazi nzuri.

Ila kuna timu japo ilikua mkiani lakini kwa matokeo haya sasa itakuwa nafasi ya 13 kama sikosei


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
81'

BUR 1 - 3 CHE

Mikel On Oscar Off


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
90

BUR 1 - 3 CHE
3mnts added


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom