Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Man u si size yetu jaman au mnaonaje swansea kajichinjia pale ngome kongwe! Halafu chelsea ndio akutane na mashetani jamaan huruma sana!!!!!
 
Kipindi cha pili kimeanza...
Burnley wanaonekana kucheza vizuri zaidi ya kipindi cha kwanza na wameutawala mpira mpaka dakika hii....

51'

BUN 1 - 3 CHEL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom