Kalale huna hoja na hiyo avatar yako umevaa chupi,mwanaume anayejielewa hawezi weka avatar akiwa na chupi tu kama si wale wenye injini nyuma yaani Volkswagen,kwahiyo rudi kujibu hoja ukiwa unajielewa.we nawe kweli mamluki kama anavyosema mdau. huyo Sanchez hawez kumfikia Diego wala hata kumkaribia kwa ubora. Hao Arsenal wako sijaona walichosajili kumshinda chelsea.
Hii ya kukubali wachezaji wa timu pinzani ipo lakini siyo huyo Sanchez kw Costa atasubiri sana.Arsenal wangekua wamemsajili Suarez kweli ningesema wamejitahidi ...........
Grand PA
acha unafki,unajivua gamba na kujirudisha gamba,weka kwanza avatar ya heshima si hiyo umevaa chupi lazima nikuone hujielewindio mm mkuu, nilijivua gamba. huko kwnye majukwaa ya watu ban ziliniandama sana. ndio nimetoka kifungoni jana.
Grand PA
Mkuu kumbe umeliona hilo!we mjanja,ngoja kuna thread nilianzia kuhusu chelsea kama timu yangu,huyo huyo Agost akaja kuniquote kule kwamba kwanini usingeweka kwenye ile thread letu la chelsea ije juu,kumbe anapost au kuponda watu ili thread ili ije juu,umehakikisha alivyoshindwa kujibu hoja zangu na kujibu bla blaa tu,kumbe anasogeza thread juu kisa kwa unafki anaandika we unataka tuendelea page zifike....,halafu anasema nani hanijui mi chelsea watakuja kuonyesha,na kweli mashabiki mandazi bila kusoma hoja lazima wamsifie.........udhaifu gani wa hoja ya Agost,mi kusema Drogba anajua kukwepa Defenders akasema sijui na simfuatiliiaji wa chelsea(hanijui hata),akasema Vialli ni zaidi ya drogba,nikaleta clip ya video ya Vialli na kumwambia angalia jamaa anachenga mabeki ila Drogba huwa anakwepa mabeki,anakaa sehemu akasahaulika,akipata mpira madhara,na ushahidi nikaweka,jamaa akaanza kuniponda tu,na nikamwambia tena,akaenda kuchukua post yangu niliyosema Sanchez waliyomsajili Arsenal anajua kuliko Diego,akaanza kuonyesha mi arsenal,(nikamwonyeshea post yangu nikisema "nilikuwa sijamwona Diego vizuri akiwa mbali na chelsea na nimwona now anafanya vizuri''bado akawa analazimisha point mi sio chelsea.

Nikadhani huyu Agosti hanielewi,nikaweka mfano,(rudi page moja au mbili nyuma),nikasema mfano simba wakamsajili Messi,halafu Yanga wakamsajili Samata,Nikisema Simba wamefanya usajili mzuri Kumsajili Messi ambaye ni mchezaji wa dunia kuliko Yanga waliomsajili Samata,Je hapo mi ni msaliti wa Yanga kisa nimesema simba wamefanya usajili mzuri kumsajili Messi kuliko Samata? agosti 8 unafanya unafki na hata wanaokusupport wanakupumbaza kukupa kampani tu kwamba usionekane upo empty.,.
NARUDIA MFANO:Simba wamemleta Messi toka Barcelona na kumsajili,Yanga wakamleta Samata na kumsajili,Mi ambaye ni Yanga nikasema ;Daah Simba wamemleta Messi,wametisha na wamefanya usajili wa ukweli(ila mi yanga),halafu wewe ukaanza ooh,Viol mamluki hamsifii Samata,.......
Yaani kwa hiyo point we ndo unasema mi mamluki.
C.C@Belo
kwa hiyo baada ya maelezo yote haya unataka tukuone unajua kuchambua kuliko mwezi wa nane ?
upotoshaji wa makusudi kabisa Viol;Mkuu kumbe umeliona hilo!we mjanja,ngoja kuna thread nilianzia kuhusu chelsea kama timu yangu,huyo huyo Agost akaja kuniquote kule kwamba kwanini usingeweka kwenye ile thread letu la chelsea ije juu,kumbe anapost au kuponda watu ili thread ili ije juu,umehakikisha alivyoshindwa kujibu hoja zangu na kujibu bla blaa tu,kumbe anasogeza thread juu kisa kwa unafki anaandika we unataka tuendelea page zifike....,halafu anasema nani hanijui mi chelsea watakuja kuonyesha,na kweli mashabiki mandazi bila kusoma hoja lazima wamsifie.........udhaifu gani wa hoja ya Agost,mi kusema Drogba anajua kukwepa Defenders akasema sijui na simfuatiliiaji wa chelsea(hanijui hata),akasema Vialli ni zaidi ya drogba,nikaleta clip ya video ya Vialli na kumwambia angalia jamaa anachenga mabeki ila Drogba huwa anakwepa mabeki,anakaa sehemu akasahaulika,akipata mpira madhara,na ushahidi nikaweka,jamaa akaanza kuniponda tu,na nikamwambia tena,akaenda kuchukua post yangu niliyosema Sanchez waliyomsajili Arsenal anajua kuliko Diego,akaanza kuonyesha mi arsenal,(nikamwonyeshea post yangu nikisema "nilikuwa sijamwona Diego vizuri akiwa mbali na chelsea na nimwona now anafanya vizuri''bado akawa analazimisha point mi sio chelsea.
Nikadhani huyu Agosti hanielewi,nikaweka mfano,(rudi page moja au mbili nyuma),nikasema mfano simba wakamsajili Messi,halafu Yanga wakamsajili Samata,Nikisema Simba wamefanya usajili mzuri Kumsajili Messi ambaye ni mchezaji wa dunia kuliko Yanga waliomsajili Samata,Je hapo mi ni msaliti wa Yanga kisa nimesema simba wamefanya usajili mzuri kumsajili Messi kuliko Samata? agosti 8 unafanya unafki na hata wanaokusupport wanakupumbaza kukupa kampani tu kwamba usionekane upo empty.,.
NARUDIA MFANO:Simba wamemleta Messi toka Barcelona na kumsajili,Yanga wakamleta Samata na kumsajili,Mi ambaye ni Yanga nikasema ;Daah Simba wamemleta Messi,wametisha na wamefanya usajili wa ukweli(ila mi yanga),halafu wewe ukaanza ooh,Viol mamluki hamsifii Samata,.......
Yaani kwa hiyo point we ndo unasema mi mamluki.
C.C@Belo
kwa hiyo baada ya maelezo yote haya unataka tukuone unajua kuchambua kuliko mwezi wa nane ?
Mkuu kumbe umeliona hilo!we mjanja,ngoja kuna thread nilianzia kuhusu chelsea kama timu yangu,huyo huyo Agost akaja kuniquote kule kwamba kwanini usingeweka kwenye ile thread letu la chelsea ije juu,kumbe anapost au kuponda watu ili thread ili ije juu,umehakikisha alivyoshindwa kujibu hoja zangu na kujibu bla blaa tu,kumbe anasogeza thread juu kisa kwa unafki anaandika we unataka tuendelea page zifike....,halafu anasema nani hanijui mi chelsea watakuja kuonyesha,na kweli mashabiki mandazi bila kusoma hoja lazima wamsifie.........udhaifu gani wa hoja ya Agost,mi kusema Drogba anajua kukwepa Defenders akasema sijui na simfuatiliiaji wa chelsea(hanijui hata),akasema Vialli ni zaidi ya drogba,nikaleta clip ya video ya Vialli na kumwambia angalia jamaa anachenga mabeki ila Drogba huwa anakwepa mabeki,anakaa sehemu akasahaulika,akipata mpira madhara,na ushahidi nikaweka,jamaa akaanza kuniponda tu,na nikamwambia tena,akaenda kuchukua post yangu niliyosema Sanchez waliyomsajili Arsenal anajua kuliko Diego,akaanza kuonyesha mi arsenal,(nikamwonyeshea post yangu nikisema "nilikuwa sijamwona Diego vizuri akiwa mbali na chelsea na nimwona now anafanya vizuri''bado akawa analazimisha point mi sio chelsea.
Nikadhani huyu Agosti hanielewi,nikaweka mfano,(rudi page moja au mbili nyuma),nikasema mfano simba wakamsajili Messi,halafu Yanga wakamsajili Samata,Nikisema Simba wamefanya usajili mzuri Kumsajili Messi ambaye ni mchezaji wa dunia kuliko Yanga waliomsajili Samata,Je hapo mi ni msaliti wa Yanga kisa nimesema simba wamefanya usajili mzuri kumsajili Messi kuliko Samata? agosti 8 unafanya unafki na hata wanaokusupport wanakupumbaza kukupa kampani tu kwamba usionekane upo empty.,.
NARUDIA MFANO:Simba wamemleta Messi toka Barcelona na kumsajili,Yanga wakamleta Samata na kumsajili,Mi ambaye ni Yanga nikasema ;Daah Simba wamemleta Messi,wametisha na wamefanya usajili wa ukweli(ila mi yanga),halafu wewe ukaanza ooh,Viol mamluki hamsifii Samata,.......
Yaani kwa hiyo point we ndo unasema mi mamluki.
C.C@Belo
Hakuna mtu wa Chelsea Fc anayeweza kumdharau Droba, ndo maana hata juzi wakati wachezaji wanatambulishwa kabla ya mechi vs Real Sociedad "Simba Mzee" alishangiliwa sana...anapendwa na kukubalika.
Lakini hata siku moja usithubutu kudharau mchango wa watu wafuatao hapa CHELSEA FC, utakuwa mamluki:
1.Frank Lampard,
2. John Terry
3.Didier Drogba
4.Petr Cech
5.Makelele
6.Franco Zola # 25.
7.Gianluca Vialli
8.Jimmy Floyd Hasselbank
9.Ruud Gullit
10.Bobby Tumblin
11.Roberto Di Matteo # 16.
Hao watu wameacha alama zao CHELSEA FC.
Wakuu Drogba anajua sana,huwa ni mjanja kukwepa mabeki na kujiweka kwenye position anayojua yeye,kwenye wachezaji wengi sijawahi kuona mchezaji mkwepa mabeki mpaka anasahaulika kama drogba,kama kuna mkwepaji wa mabeki zaidi ya drogba hebu niambie ni nani?
wa zamani,wa sasa bad sijaona game zake za chelsea ndo nasubiri nimwone
Kalale huna hoja na hiyo avatar yako umevaa chupi,mwanaume anayejielewa hawezi weka avatar akiwa na chupi tu kama si wale wenye injini nyuma yaani Volkswagen,kwahiyo rudi kujibu hoja ukiwa unajielewa.
acha unafki,unajivua gamba na kujirudisha gamba,weka kwanza avatar ya heshima si hiyo umevaa chupi lazima nikuone hujielewi
hahahahhaa jibu kwa hoja bila hivyo nitakuona empty kichwani,bwaaaaaahkwa hiyo baada ya maelezo yote haya unataka tukuone unajua kuchambua kuliko mwezi wa nane ?
nimetoa hoja,ungekuwa unajibu hoja ungesoma tangia mwanzo mjadala na hoja yenyewe ilikuwa inaendaje sio unadandia tu,hahahahhaa bwaaaaahwe unaonesha ni jinsi gani ulivyokua kilaza, ila sikulaumu utakua una ukilaza wa kurithi .......... toa hoja achana na mambo y avatar maana hayakuhusu!" ata niweke m2 amekaa uchi bado haikuhusu. au ww ndio wale wale!! mchele mchele umeona dushe limetuna kwnye chupi hapa limekuvutia.
mishabiki y arse888 bana! maandazi kweli.
Grand PA
sina haja ya kutumia energy kama hujui kujibu ulichoulizwa hujui tu.maoni yake mkuu Viol..
hahahahhaa jibu kwa hoja bila hivyo nitakuona empty kichwani,bwaaaaaah
Mimi AGOSTI 8 sijawahi hata dakika moja kumdharau SIMBA MZEE labda kama mkuu Viol ana lake jambo..someni wenyewe ..
nimetoa hoja,ungekuwa unajibu hoja ungesoma tangia mwanzo mjadala na hoja yenyewe ilikuwa inaendaje sio unadandia tu,hahahahhaa bwaaaaah