Hakuna mtu wa Chelsea Fc anayeweza kumdharau Droba, ndo maana hata juzi wakati wachezaji wanatambulishwa kabla ya mechi vs Real Sociedad "Simba Mzee" alishangiliwa sana...anapendwa na kukubalika.
Lakini hata siku moja usithubutu kudharau mchango wa watu wafuatao hapa CHELSEA FC, utakuwa mamluki:
1.Frank Lampard,
2. John Terry
3.Didier Drogba
4.Petr Cech
5.Makelele
6.Franco Zola # 25.
7.Gianluca Vialli
8.Jimmy Floyd Hasselbank
9.Ruud Gullit
10.Bobby Tumblin
11.Roberto Di Matteo # 16.
Hao watu wameacha alama zao CHELSEA FC.
hayo mashuti ya Drogba sijajichainganya,nimesema ni kama bonus,mbali na ukwepaji wake mabeki.mimi ni chelsea fc, hata wakati wewe na wenzako mlipkuwa mmelisusa jukwaa mimi nilikuwepo; muulize Mentor, Ntuzu, Mourinho hata wengine wanajua.
Mimi namkubali DROGBA tena kuliko unavyofikiri. tunachozungumza ni kwmba wewe unasema kuhusu ujanja wa Drogba kukwepa mabeki. Nimekwambia "simba mzee" anasifika na anajulikana kwa uwezo wake wa kutumia nguvu, kufunga magoli ya vichwa, kufunga kwa faulo, kwa penati na etc..
Ligi ya uingereza huweza kukaa unavizia vizia na ufunge magoli ya kutosha unahitaji kuwa mpambanaji. Sasa mwenywew tena unaanza kusema mala mashuti ya moto mara nini sijui..usipindishe mjadala Viol; sisi wote hapa ni CHELSEA FC tena kumbuka wewe ni mojawapo ya mashabiki humu ndani wanaotuhumiwa kwa kuwa mamluki..ha hahaa. unakumbuka wewe uliponda usajli wa costa ukasema Sanchez ni bora kuliko Costa? sasa kimyaaa..
Sasa endelea..:wacko:
agosti 8 mkuu nahisi we ni kati ya mashabiki walioona uwalakini Drogba kurudi Chelsea
Lakini hata hivo mass media ipo,haya magoli ya Vialli ni kwenye purukushani au jamaa kujiweka wakati move inakuja,but Drogba huwa mpaka kipa anachoka,maana jamaa yupo tu yale maeneo kila mda,halafu bonus Drogba cross ikipigwa ana uwezo wa kuiconnet mpaka ndani,ule mpira wa moto kutoka cross unaogezewa moto,imagine goal keeper kule anafeel vipi
hayo mashuti ya Drogba sijajichainganya,nimesema ni kama bonus,mbali na ukwepaji wake mabeki.
Kusema toka mwanzoni Sanchez ni bora kuliko Diego sio umamluki,Mi Diego nimemfahamia kwenye mechi kama nne za UEFA na Ligi ya Spain,ubora wa mchezaji unatokana na timu yenye historia,Je Sanches alikotoka unaweza kuniambia kaonekana mara ngapi?Mi mechi zote nilizomwona Diego niliona hana madhara zaidi ya hasira kwa refa,kutokana na ubora wa chelsea Diego atapanda chati na kutokana Arsenal Sanchez atakuja kuonekana wa kawaida,ila Diego atang'ara.

naona ulinilenga,ila mi Chelsea wote nawakubaliHakuna mtu wa Chelsea Fc anayeweza kumdharau Droba, ndo maana hata juzi wakati wachezaji wanatambulishwa kabla ya mechi vs Real Sociedad "Simba Mzee" alishangiliwa sana...anapendwa na kukubalika.
Lakini hata siku moja usithubutu kudharau mchango wa watu wafuatao hapa CHELSEA FC, utakuwa mamluki:
1.Frank Lampard,
2. John Terry
3.Didier Drogba
4.Petr Cech
5.Makelele
6.Franco Zola # 25.
7.Gianluca Vialli
8.Jimmy Floyd Hasselbank
9.Ruud Gullit
10.Bobby Tumblin
11.Roberto Di Matteo # 16.
Hao watu wameacha alama zao CHELSEA FC.
Hakuna mtu wa Chelsea Fc anayeweza kumdharau Droba, ndo maana hata juzi wakati wachezaji wanatambulishwa kabla ya mechi vs Real Sociedad "Simba Mzee" alishangiliwa sana...anapendwa na kukubalika.
Lakini hata siku moja usithubutu kudharau mchango wa watu wafuatao hapa CHELSEA FC, utakuwa mamluki:
1.Frank Lampard,
2. John Terry
3.Didier Drogba
4.Petr Cech
5.Makelele
6.Franco Zola # 25.
7.Gianluca Vialli
8.Jimmy Floyd Hasselbank
9.Ruud Gullit
10.Bobby Tumblin
11.Roberto Di Matteo # 16.
Hao watu wameacha alama zao CHELSEA FC.
ha ha ha pole sana ungekuwa arsenal hapo mwenye namba angekuwa terry peke yake kwasababu kuna Th14 hii ni pikipiki iliyopatikana london kamuulize yeyote pale kwa malkia wanamjua
kuna DB10 huyu kafunga goli bora la miaka yote pale uingereza kamuulize newcastle
kuna patric viera huyu dahh labda roy keane peke yake ndiye anamtambua kwa ufasaha labda niishie hapa nikiendelea itakuwa majanga
Mkuu hilo red hapo umenikwaza sana,nachukia pale mtu anapokataa mawazo ya wenzake na kuwaita mamluki,kama we umechukia mi kumponda Diego Costa wakati wa usijali samahani kwa kutokunielewa,maana kuna post yangu pia humu nilishasema nilikuwa simkubali Diego ila kwa assist na magoli yake alipohamia chelsea nimemkubali,Sijaona umuhimu wa wewe kuareact hivo mimi kumsifia drogba kwa anajua kukwepa defenders,na vialli bado simkatai ila nilisema kwamba hajamfikia drogba ambaye Chelsea wanamwita Legend,sasa umamluki wangu ni upi ambao unaonyesha mi si chelsea?kumtomkubali Vialli au kusema Sanchez anajua kuliko Diego?mbona hutaki kupewa challange mkuu.Wewe si Chelsea Fc, ..chelsea fc tunafikiri tofauti sana..hata wachezaji unaowapenda wee unakaa kama mshabikiwa timu ya LE PROFESERI vile ha ha aha :A S-eek:
naona ulinilenga,ila mi Chelsea wote nawakubali
Kwahiyo kusema Sanchez ni bora kuliko Diego ni umamluki kisa Diego kaja chelsea,Je ningesema Messi ni bora kuliko Diego ungesema ni mamluki?heshimu mawazo ya watu.nakukumbusha maneno yako.
Mkuu hilo red hapo umenikwaza sana,nachukia pale mtu anapokataa mawazo ya wenzake na kuwaita mamluki,kama we umechukia mi kumponda Diego Costa wakati wa usijali samahani kwa kutokunielewa,maana kuna post yangu pia humu nilishasema nilikuwa simkubali Diego ila kwa assist na magoli yake alipohamia chelsea nimemkubali,Sijaona umuhimu wa wewe kuareact hivo mimi kumsifia drogba kwa anajua kukwepa defenders,na vialli bado simkatai ila nilisema kwamba hajamfikia drogba ambaye Chelsea wanamwita Legend,sasa umamluki wangu ni upi ambao unaonyesha mi si chelsea?kumtomkubali Vialli au kusema Sanchez anajua kuliko Diego?mbona hutaki kupewa challange mkuu.
umeona mkuu huyu jamaa mamuliki mark my word

lete hizo post zangu unazosema nawageukaPole mkuu Viol; ila post zako zinakuponza tena kibaya ni kwmba unasema wewe ni Chelsea lakini mara zote tunapokuwa kwenye kipindi kigumu unatugeuka; hata mimi si wa kwanza kusema hivyo; CHILUMENDO alishasema kukuhusu wewe mkuu Viol.
Hapana mimi sichukii kuwa na maoni tofauti; nakubali changamoto. kwa moyo safi kabisa..tuko pamoja lakini mara kwa mara ni muhimu kuwekana sawa..CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
wewe kinachokusumbua ni ushabiki badala ya kuangalia ubora wa mchezaji mmojammoja kwa kila timu hivi unafikiri sanchez atazuia arsenal msifungwe , kinachotakiwa katika timu ni ubora wa timu nzima na sio mchezaji mmoja.
Hata ukifananisha sanchez na Diego wa chelse katika ubora diego ana ubora zaid ya huyo unayemsema
mkuu heshimu mawazo ya watu,usione wengine vichaa wanapotofautiana na ww kimawazomimi sishabikii Arsenal wala man u wala man city,mi ni blues dam,lakini hata kwenye kombe la dunia nadhani umeona mambo aliyofanya Sanchez kuliko hata Diego,unaposema unachoangalia ni ubora wa timu haina mantiki pia kama hakuna mchezaji ambaye ni bora kuliko,kama unaangalia timu lote,je Argentina ingeenda fainali bila Messi?pia nadhani umeona Brazil ilivyopoteza Neymar alivyokosa mechi ya majuzi