Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1407699446298_wps_9_Chelsea_s_Ivorian_forward.jpg

1407701363289_wps_14_Football_Ferencvaros_v_Ch.jpg

1407699635834_wps_11_Chelsea_s_Ivorian_forward.jpg

1407699652001_wps_12_Chelsea_s_Ivorian_forward.jpg

GET WELL SOON LEGEND....
 
1407702019897_wps_17_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

CESAR AZPILICUETA

1407698137342_wps_7_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

WILLIAN...

1407698123419_wps_4_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

WORLD CUP HERO...ANDRE SCHURLLE

1407702199620_wps_19_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

WHAT A STRIKE: RAMIRES A.K.A. MMAKONDE

1407702286305_wps_21_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

WHAT A SQUAD

1407703467340_wps_23_Chelsea_s_Cesc_Fabregas_C.jpg

AND HE SCORED...

1407703478381_wps_26_Chelsea_FC_via_Press_Asso.jpg

FABREGAS 2 !

1407703476725_wps_25_Chelsea_s_Cesc_Fabregas_C.jpg

all played well, except fernando torres, this guy should go...:A S-eek:
 
Nakubaliana na wewe kabisa kwa kweli alikuwa flop, halafu kitu kingine nilichokiona bado hajaweza kumpenyeshea Costa pass vizuri, ingawa Fabregas anajitahidi kufanya hivyo.

Cesc Fabregas is a top-class player.

Eden Hazard, Willian, Oscar na Mohamed Salah ni balaa kubwa sana. Hawa watu wana vipaji vya hali ya juu.

Pia Nemanja Matic ni "Makelele Mpya" kwa kweli! Nilipenda kiwango cha Ramires, na Mikel Obi pia.

vijana wa "wizara ya ulinzi" pia walifanya kazi yao vizuri, ...kama nilivyosema tatizo ni Torres,..babu Drogba ana vitu kumzidi Torres, ingawa Torres ni 'kijana' zaidi kuliko Drogba..:A S-eek:
 
Oscar akicheza nyuma ya striker huwa anacheza vizuri sana...passing accuracy yake huwa perfect! Shida ni akiwa wing..
 
ni kweli kabisa Mentor, lakini nafikiri mwenyewe ndo anajipa shughuli nyingi; lakini so far anacheza vizuri; ngoja ligi ianze..kwa sababu yeye ndo namba 10-the playmaker, Willian, Salah na Hazard watu wa pembeni..

CESC FABREGAS anacheza # 8, na Matic anacheza # 6...
 
Ana jituma sana...kwangu mimi bado baungana na Scolari...namchagua kabla ya Willian.
 
Oscar anaitendea haki # 11 anayovaa..

Willian hana tatizo na Oscar maana majukumu yao ni tofauti sana; kama uliona mechi ya jana Mentor ,, willian anauwezo wa kupiga chenga na kukaa na mpira muda mrefu; hiyo inafaa kwa nafasi yake anayocheza, Oscara na Fabregas wanasaidiana kuichezesha timu..TIMU IMEIVA nadiriki kutangaza kwamba huu msimu kombe lazima.

Ana jituma sana...kwangu mimi bado baungana na Scolari...namchagua kabla ya Willian.
 
itakuwaje hapa; Willian, Salah, Hazard, Moses, Ramires na Schurrle wote wanaweza kucheza namba za pembeni..hakuna mtu mwenye uhakika wa kucheza dakika 90 kati ya hao..ha haha kazi ipo angalau Schurrle amerudi na ufundi mwingine wa kupiga mipira ya adhabu na anaipiga vizuri tu.

ila niseme kweli, huyu Mo Salah ni balaa aiseee. ulimwona jana, ndo alitoa pasi ya goli la Ramires, msumbufu sana jamaa..:A S-eek:

Ana jituma sana...kwangu mimi bado baungana na Scolari...namchagua kabla ya Willian.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom