Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kwa nini Mods wasibadilishe baadhi ya picha zilizoko kweenye first post.....ili jukwa kwaa liwe live na hata kuwe na vikombe tulivyo twaa
 
hiyo ni historia tu; kitakachofanya jukwaa hili CHELSEA FC THREAD liwe live ni wadau wenyewe kuchangia mijadala na kumwaga comments nyingi za kutosha; kwa miezi 2 sasa nasikitika kusema kwamba wadau wengi hawajachangia vya kutosha hali hiyo ndo hupoozeshwa jukwaa siyo picha.

karibu mkuu Safety last;

15390_419190011554641_2823769391264168756_n.jpg

vitu adimu:A S-eek:
 
hiyo ni historia tu; kitakachofanya jukwaa hili CHELSEA FC THREAD liwe live ni wadau wenyewe kuchangia mijadala na kumwaga comments nyingi za kutosha; kwa miezi 2 sasa nasikitika kusema kwamba wadau wengi hawajachangia vya kutosha hali hiyo ndo hupoozeshwa jukwaa siyo picha.

karibu mkuu Safety last;

asante mkuu thread yetu iko so plain nimemwomba mods kupitia jukwaa la complains na congrats akupe autority ya kuupdate the first post ya sanda matata ili atleast kuwe na hata history ya vikombe tulivyochukua kama ilivyo kwa Man united na liverpool.Agost 8 umekuwa so active na hii thread na nakupongeza kwa kuweka current news kila ukizipata Mods wakupe basi authority ya kuihuisha thread namba moja interms of vikombe na squad .nimtizamo tu mkuu
 
nakubali mkuu safety last; ila nadhani tunaye mwakilishi wetu katika hao mamods mkuu Invisible kama sijakosea; lakini ikibidi niko tayari kufanya usemavyo; cc. Ntuzu, Mentor, FUSO.
 
asante mkuu thread yetu iko so plain nimemwomba mods kupitia jukwaa la complains na congrats akupe autority ya kuupdate the first post ya sanda matata ili atleast kuwe na hata history ya vikombe tulivyochukua kama ilivyo kwa Man united na liverpool.Agost 8 umekuwa so active na hii thread na nakupongeza kwa kuweka current news kila ukizipata Mods wakupe basi authority ya kuihuisha thread namba moja interms of vikombe na squad .nimtizamo tu mkuu

mapendekezo yangu kwa mods; au ikiwa tutapewa 'authority' kuhuisha hao mabango 'sticky'...
1.picha ya MUNICH 2012 ibaki maana hata majirani ARSENAL na hawana.
2. tuweke picha ya UEFA EUROPA LEAGUE.
3. tuweke ubingwa wa SUPER CUP 1998 vs Real Madrid.
4. Winners Cup 1998.
5. Premier League.

itatosha; kombe la FA tuwaachie mabingwa wa kombe hilo ARSENAL:A S wink::A S wink:
 
hahah unaona mkuu hizi details zinahitajika sanakwenye first post, kombe la FA yawekwe tu mkuu maana tulicheza na kuyatwaa.leo naona vijana wako Turkey wana game za Dk 45 na besiktas,fenerbahce kwa ajili ya wahanga wa Soma mining industry na sunday watakuwa Hungary. Mkuu soko la Victor Moses halijapatikana ?
 
huyu jamaa inabidi auzwe; hawezi kugombea ndamba kwenye kikosi cha sasa. Willian-Salah-Schurrle-Hazard-Oscar- hapo pagumu sana kwa Moses, lakini kama atabaki hawezi kucheza gemu zaiid ya 10 msimu mzima.

Ivory Coast striker Didier Drogba has announced his retirement from international football.

The 36-year-old, who last month re-joined Chelsea following a two-season absence with spells in China and Turkey, made his 104th and final appearance for Les Elephants during the World in Brazil.

"It is with much sadness that I have decided to retire from international football," Drogba said.

SOURCE: EUROSPORT
 
Attachments

  • 1407509383386.jpg
    1407509383386.jpg
    12.2 KB · Views: 48
huyu jamaa inabidi auzwe; hawezi kugombea ndamba kwenye kikosi cha sasa. Willian-Salah-Schurrle-Hazard-Oscar- hapo pagumu sana kwa Moses, lakini kama atabaki hawezi kucheza gemu zaiid ya 10 msimu mzima.

Nadhani mkuu kwa sababu tumezidisha mtu mmoja katika wachezji 18 wanaozidi miaka 21 wakigeni wanaotakiwa kwenye kikosi basi ni nafasi nzuri aondoke huyu jamaa
 
Wakuu nilitaka nianzishe thread nikaona haina haja heri humu humu kwenye uzi wetu.

Ipo hivi!

Kwanini uliipenda Chelsea?kwanini ukaamua kuwa mshabiki wa Chelsea na siyo Man U,Man City,Liverpool au Arsenal??

Mi niliamua kuwa mshabiki wa Chelsea kwa ajili ya
1.Rangi yenyewe blue
2.Chelsea nimekuwa nikiona kama unachukua wachezaji bila kuangalia rangi ya ngozi.
3.Chelsea ina spirit ya ajabu,si timu tu mpaka mashabiki
4.Chelsea ni timu inayoogopwa na timu kubwa,na ndo inayowaumiza akili timu kubwa.
5.Nimeipenda pia Chelsea kwa ajili ya Morinho na Drogba akiwa pale kushambulia,ndo nilipoona spirit yao.
Now Coach ni Morinho na Drogba karudishwa,ndo mahaba yangu ya kuipenda chelsea imeongezeka.

hebu elezeni sababu zenu za kupenda chelsea!
Ntunzu @Agosti na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Turkish charity competition in aid of the Soma mining disaster.

Chelsea 2 ( Diego Costa, Ivanovic) - 0 Fenerbahce.

Chelsea (4-2-3-1):-Cech;-Ivanovic,-Cahill,-Terry-(c),Azpilicueta; Matic,-Fabregas-(Mikel-39);-Schurrle(Ramires 33),-Oscar,-Hazard-(Salah 41); Costa (Drogba 35).

Hicho ndio kikosi kilichocheza na Fenerbahce huko Uturuki na kushinda kwenye dakika 45 za mwanzo mchezo unaofuata ni Chelsea na Besiktas. Kama chelsea watashinda basi wanachukua kombe.
 
Dakika 45 nyingine ambazo tunacheza na Besiktas ndio zimemalizika na Besiktas kuchukua kombe kutokana na kwamba walishinda dakika 45 za mchezo wao wa kwanza.

Chelsea 0 - 1 (Ersan Gulum) Besiktas

Chelsea (4-2-3-1):-Cech;-Ivanovic,-Cahill,-Terry-(c), Filipe Luis; Matic (Mikel-43),-Fabregas-(Salah 33);Ramires-(Torres-43),-Willian,-Hazard-(Oscar-22); Costa (Drogba 22).
 
Turkish charity competition in aid of the Soma mining disaster.

Chelsea 2 ( Diego Costa, Ivanovic) - 0 Fenerbahce.

Chelsea (4-2-3-1):-Cech;-Ivanovic,-Cahill,-Terry-(c),Azpilicueta; Matic,-Fabregas-(Mikel-39);-Schurrle(Ramires 33),-Oscar,-Hazard-(Salah 41); Costa (Drogba 35).

Hicho ndio kikosi kilichocheza na Fenerbahce huko Uturuki na kushinda kwenye dakika 45 za mwanzo mchezo unaofuata ni Chelsea na Besiktas. Kama chelsea watashinda basi wanachukua kombe.
Hivi perment mfumo wa chelsea ni upi?ndo huo 4-2-3-1?
 
Wadau vipi kikosi chetu kitaweza kuchukua kombe safari hii?,Naona kama timu yetu imekosa kitu muhimu sana, 'kroos' na 'varane'.Tusipobeba safari hii man c atabeba tena, wengine wote hawana uwezo.Hata kama hatutachukua ubingwa big four tuwafunge ndani nje na tusifungwe st.bridge inatosha kabisa
 
Are you being realistic or a wimp?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom