Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ile mechi ilikuwa tamu sana, nilitaka lala ila yale maufundi ya Salah, Fabs,Hazard yakanifanya niendelee angalia.
Mimi nishatangaza mapema kuwa Chelsea ndio mabingwa na tusipochukua msimu huu basi itakuwa balaa na tunaweza kuwa liverpoool wengine.
Chelsea FC Winners

UBINGWA WETU TUTATANGAZA MAPEMA SANA..:first:
 
terry-helps-fan-fulfil-wish.img.png
 
wakuu huu msimu mna maoni gani kuhusu kukutana na arsenal nadhani mmeona spirit yao kwenye mechi ya man city
 
Defence haina tatizo kabisa mkuu ondoa shaka, tangu msimu uliopita hatukuwa na tatizo. Kwa ujumla kikosi kizima kiko sawa....ubingwa mapema sana tunatangaza
nilichogundua tutatakiwa wapinzani wetu wawili wapoteze game zao,ambao ni man u na arsenal ila pale liverpool na man city hamna kitu
 
nilichogundua tutatakiwa wapinzani wetu wawili wapoteze game zao,ambao ni man u na arsenal ila pale liverpool na man city hamna kitu

timu iliyokomaa na yenye kocha aliyekomaa haihitaji kuombea njaa adui zake; kwa sababu wanaweza kupanga matokeo. timu iliyokomaa kama CHELSEA FC italazimika kuzifunga nyumbani na ugenini ili kujihakikishia ushindi.

Wapinzani wetu si Man Utd, Arsenal fc, Liverpool au Man City...Wapinzani wetu sisi ni NEXT MATCH.:A S-eek:
 
gemu lipo kama kawaida; tena leo ndo siku ambayo wachezaji wapya watatambulisha rasmi mmoja baada ya mwingine kabla ya mechi kuanza, wataitwa majina, mmoja baada ya mwingine..

Wakuu leo game yetu na Real Sociedad ipo?
 
timu iliyokomaa na yenye kocha aliyekomaa haihitaji kuombea njaa adui zake; kwa sababu wanaweza kupanga matokeo. timu iliyokomaa kama CHELSEA FC italazimika kuzifunga nyumbani na ugenini ili kujihakikishia ushindi.

Wapinzani wetu si Man Utd, Arsenal fc, Liverpool au Man City...Wapinzani wetu sisi ni NEXT MATCH.:A S-eek:
incase mkuu
 
defence halijawahi kuwa tatizo la timu zinazofundishwa na Jose Mourinho..

yaani mkuu Viol unamaana humwamini JT na Cahill?
Au tuseme huna imani na mchapa-kazi CESAR AZPILICUETA aka Davie..:A S-eek:

Defence haina tatizo kabisa mkuu ondoa shaka, tangu msimu uliopita hatukuwa na tatizo. Kwa ujumla kikosi kizima kiko sawa....ubingwa mapema sana tunatangaza
 
wakuu huu msimu mna maoni gani kuhusu kukutana na arsenal nadhani mmeona spirit yao kwenye mechi ya man city

ARSENAL FC wenyewe wanajua ..tena watafurahi sana kama Drogba hatapona mapema..:A S-eek:
 
[h=1]Kwa niaba ya CHELSEA FC NIMECHOTA NA KUMIMINA..

Arrive by 7pm to see the squad[/h]
News
Jose Mourinho requests fans arrive early for tonight's game against Real Sociedad to welcome the players onto the pitch ahead of the new season.
The whole first team squad will be introduced one by one onto the pitch at 7pm ahead of their warm-up, 45 minutes prior to kick-off at Stamford Bridge and there will be a lap of appreciation by the players.
It is the first time we have hosted a friendly at our home since 2006, and it promises to be a memorable evening, with the sold-out crowd given the opportunity to welcome each of the players, including our new signings Diego Costa, Cesc Fabregas, Filipe Luis and Didier Drogba, as well as returning loanees Kurt Zouma and Thibaut Courtois who are yet to sample the Chelsea atmosphere as Blues players.
There are several early-bird refreshment offers also running inside the stadium, and plenty more entertainment to amuse supporters young and old in the lead-up to the game, Including a 'green-screen' photo opportunity outside the Stamford Gate from 4pm, where we will be offering fans a unique opportunity to have a free photo taken which will appear with an image of Chelsea players.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom