Diego Costa ni straika ambaye hakabiki,nimeliona hilo
Hivi perment mfumo wa chelsea ni upi?ndo huo 4-2-3-1?
Hujanikwaza mkuu agust 8,nilikuwa sijamwona huyu jamaa vizuri kwenye timu zinginge zaidi ya ATM,Nimemwona mechi zake za chelsea,kiroho safi sina lawama,ila naogopa tu asipewe kadi maana pale mbele analalamika sanasi ni wewe uliyesema kwamba ALEXIS SANCHEZ ni bora kuliko Diego Costa au siyo wewe?
siku nyingine punguze kubwabwaja mkuu Viol, .:A S-eek: samahani kama nimekukwaza lakini..
Hujanikwaza mkuu agust 8,nilikuwa sijamwona huyu jamaa vizuri kwenye timu zinginge zaidi ya ATM,Nimemwona mechi zake za chelsea,kiroho safi sina lawama,ila naogopa tu asipewe kadi maana pale mbele analalamika sana
hakuna mfumo permanent kwneye soka. ila kuna mfumo uliozoeleka. kwa misimu miwili iliyopita tumetumia sana 4-2-3-1., lakini inawezekana msimu huu tutakuwa tunatumia pia 4-3-3 na 4-1-4-1. ..kutegemea na wapinzani tunaokutana nao.
Wadau vipi kikosi chetu kitaweza kuchukua kombe safari hii?,Naona kama timu yetu imekosa kitu muhimu sana, 'kroos' na 'varane'.Tusipobeba safari hii man c atabeba tena, wengine wote hawana uwezo.Hata kama hatutachukua ubingwa big four tuwafunge ndani nje na tusifungwe st.bridge inatosha kabisa
#teamChelsea ikiwa mazoezi huko Hungary ikijiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Ferencvaros.
Na uchokozi wa utani pia upo, yaan ni raha tuu.
asante mkuu thread yetu iko so plain nimemwomba mods kupitia jukwaa la complains na congrats akupe autority ya kuupdate the first post ya sanda matata ili atleast kuwe na hata history ya vikombe tulivyochukua kama ilivyo kwa Man united na liverpool.Agost 8 umekuwa so active na hii thread na nakupongeza kwa kuweka current news kila ukizipata Mods wakupe basi authority ya kuihuisha thread namba moja interms of vikombe na squad .nimtizamo tu mkuu
Mechi ya kirafiki kati ya #teamchelsea na Ferencvaros.
Chelsea are line up in the following 4-2-3-1
formation:
Cech ; Azpilicueta, Christensen, Zouma , Filipe Luis; Mikel ,
Ramires ; Willian , Schurrle, Torres; Drogba
Substitutes: Schwarzer , Ivanovic , Cahill, Terry , Fabregas,
Matic, Hazard , Oscar , Van Ginkel , Salah, Moses , Diego
Costa
Ferencvaros 1(Gera. 17') - Chelsea 0
Dakika ya 27:
Drogba ameumia baada ya kurukia mpira wa kichwa na kutua vibaya, amefanyiwa mabadiliko na nafasi yake kuchukuliwa na Oscar
Ferencvaros 1 (Geta. 17') - Chelsea 1(Ramires. 50')