Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kaeni humu mjifariji huyo maurinyo anamiaka 4 ya kusubiri for Tittle na vilevile ana miaka 7 ya kusubiri for ucl trophy sijui kama mrusi atamvumilia nakiona kiama cha maureen hapo darajani kipo karibu sana!!

vipi kwani kapteni wenu SG ameacha kuteleza uwanjani? maana mnaweza kusajili vizuri na kucheza vizuri, lakini mtakapokaribia kwenye ubingwa mtateleza tena.. ha aha ha ha ..

100968.jpg
 
Blac kid, vipi kwani wewe hupendi maendeleo ya haraka?

sisi tunatumia njia nzuri kushinda mataji..nyinyi mlikuwa na akina Tom Hicks sasa mmeleta mmliki wa "the red sox"

hatutaki kupoteza muda mpira wa sasa ni tofauti na zamani..makombe ndo bishara, msimu ujao lazima kieleweke tu.

Wapo na niwaelewa na wavumilivu pia si kama Roman mwenye haraka ya maendeleo.
 
Blac kid, kwa sasa hakuna timu inapenda kukaa bila mataji kwa muda mrefu. Hata Man Utd ndo maana wamemfukuza D.Moyes.
Hata Man City walimfukuza Mancini wakaleta MP, kwa hiyo kufukuza kocha ndo utamaduni wa sasa.

BACK TO THE TOPIC hata LIVERPOOL si wavumilivu hata kidogo; unakumbuka jinsi wamiliki kina Tom Hicks yaliyowapata wakati LFC iliposhindwa kufanya vizuri?

Nakukumbusha Blac kid.
1268742663-0003A07DA30F151E3120ACCDA%20%281%29.jpg

Wapo na niwaelewa na wavumilivu pia si kama Roman mwenye haraka ya maendeleo.
 
mkuu tulia, si hata wewe umesema sisi 'tunajifariji' tu? na kwamba ubingwa ni wa kwenu?
mimi nimeweka bango la mataji kupinga hoja yako kwamba tutakaa miaka 7 bila kombe. umenipata Blac kid?

Hahahahaha! Unajua nimekoment vile sababu yaani nyie kumvuta tu fabregas na costa tayari mmejiona mmekula bingo lakini nawaambia huyo costa wenu mtamchukia kama mnavyomchukia torres teh teh teh!
 
hata nyie vipi kuhusu ASPAS mbona mlisajili mwaka jana lakini kaishia kusota benchi? tuacheni ule maisha..DIEGO COSTA #19

kuhusu kufukuza makocha vipi kuhusu GERRARD HOULLIER, RAFAEL BENITEZ, KING KEN DAGLISH? hao walikuwa makocha wa timu gani? na kwa nini walifukuzwa?

Mliwahi kumsajili El Hadji Diouf aliishia wapi?
vipi usajili wenu wa M.35 [mchezaji ghali zaidi Mwingereza] Andy Carol.

Ni kawaida katika mpira, toeni na boriti kwenye macho yenu..:A S-eek:

Hahahahaha! Unajua nimekoment vile sababu yaani nyie kumvuta tu fabregas na costa tayari mmejiona mmekula bingo lakini nawaambia huyo costa wenu mtamchukia kama mnavyomchukia torres teh teh teh!
 
Blac kid, vipi kwani wewe hupendi maendeleo ya haraka?

sisi tunatumia njia nzuri kushinda mataji..nyinyi mlikuwa na akina Tom Hicks sasa mmeleta mmliki wa "the red sox"

hatutaki kupoteza muda mpira wa sasa ni tofauti na zamani..makombe ndo bishara, msimu ujao lazima kieleweke tu.

Maendeleo ya fasta mazuri lakini yakigoma inabidi uvumilie usifosi angalia tu nyie ndani ya miaka 10 club imefundishwa na makocha si chini watano, na makocha hao si kwamba ni wabovu ila walihitaji muda wa kujijenga zaidi!
 
mimi nakataa Blac kid, mie napenda hii farsafa ya fukuza-fukuza mtu akileta mchezo na kazi fukuza tu.

sasa turudi kwenye ile topic ya kusajili magarasa. ulisema kwamba sisi tutajuta kumsajili COSTA maana atakuwa kama TORRES? rudia tena mkuu sikukupata vizuri hapo..
Maendeleo ya fasta mazuri lakini yakigoma inabidi uvumilie usifosi angalia tu nyie ndani ya miaka 10 club imefundishwa na makocha si chini watano, na makocha hao si kwamba ni wabovu ila walihitaji muda wa kujijenga zaidi!
 
hata nyie vipi kuhusu ASPAS mbona mlisajili mwaka jana lakini kaishia kusota benchi? tuacheni ule maisha..DIEGO COSTA #19

kuhusu kufukuza makocha vipi kuhusu GERRARD HOULLIER, RAFAEL BENITEZ, KING KEN DAGLISH? hao walikuwa makocha wa timu gani? na kwa nini walifukuzwa?

Benitez alifikia hatua mbaya, kama Dalgish alivoshindwa hata kutupeleka europa, lakini kwa upande wenu ona Grant aliwapa tittle bado alifukuzwa kisa kakosa kombe la ucl, Wapi Di matteo kawapa ucl kukosa tu tittle kanyimwa mkataba, ancelotti kawapeleka ucl mmepiga chini so nadhani mmeona tofauti yenu na yetu yaani nyie hata yale maendeleo kiduchu wanayopata mameneja hamuyathamini wakati walihtaji muda kujijenga!
 
mimi nakataa Blac kid, mie napenda hii farsafa ya fukuza-fukuza mtu akileta mchezo na kazi fukuza tu.

sasa turudi kwenye ile topic ya kusajili magarasa. ulisema kwamba sisi tutajuta kumsajili COSTA maana atakuwa kama TORRES? rudia tena mkuu sikukupata vizuri hapo..

Sijasema itakuwa ivo moja kwa moja ila viol kadharau mahasimu wake kwa vile hawajasajili player wenye majina makubwa sie mpaka sasa tuna Can, lalana na lambert, lovren yu njiani wote hawa si maarufu sana kama akina Fabrigas na Diego ndomana Viol kataua lakini mie nasema hata akina Torres, Shevchenko, Ballack na Etoo walitua darajani na majina yao leo hii wako wapi?
 
twende polepole kaka Di Matteo alinyimwa mkataba kwa kukosa tittle gani? Di Matteo mkataba wake ulikatishwa na bado akaendelea kulipwa mshahara, ilikuwa Novemba 2012. Di Matteo alikuwa amepewa mkataba wa miaka 2 baada ya UCL FINAL. sasa mkataba wa Di Matteo ungeisha mwezi huu.
Grant aliipeleka timu ya 'Mourinho' kwenye fainali ya UCL mjini Moscow, mwezi Mei 2008. tulifungwa kwa penati..baada ya hapo tukamwacha aende..

sisi hatulengi B, au C, sis ni timu inayolenga A, ndo maana tuko hivyo tulivyo..WE ARE CHELSEA FC.
 
Mwambie Viol asitishike na majina nyie agust8 akina Sterling, Coutinho na sturridge hawakutikisa media walichofanya last season umekiona, mbaya zaidi Sturridge hapo darajani mlimuona garasa lakini mpaka mwisho wa ligi ndo ivo alkamata nafasi ya pili kwa kutupia.
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu, nilitaka sana ujilete mwenyewe huku:

hawa walikuwa magarasa ya LFC,..bisha sasa.
-Alberto Aquilan
-Joe Cole
-Fernando Morientes[alifunga magoli 8 katika misimu 2 aliyokaa LFC]
-El Hadji Diof
-Salif Diao
-Andry Voronin[2007]
-Stewart Downing[alisajiliwa kwa pesa taslimu paundi milioni 20. Msimu wa kwanza alikuwana 0 goals, 0 assists, alidumu misimu miwili tu LFC]
-Robbie Keane-Alisajiliwa kwa paundi M.19 akafunga magoli 5 tu, je unaweza kulinganisha huyu garasa na Eto'o aliyefunga mengi zaidi?
-Andy Carol- Alisajiliwa kwa paundi M.35 alifunga magoli 11 tu katika misimu 2 aliyocheza LFC. je, unaweza kulinganisha na Torres aliyetusaidia kupata UEFA CHAMPIONS LEAGUE NA EUROPA LEAGUE?

au ndo nyani haoni.....?

Sijasema itakuwa ivo moja kwa moja ila viol kadharau mahasimu wake kwa vile hawajasajili player wenye majina makubwa sie mpaka sasa tuna Can, lalana na lambert, lovren yu njiani wote hawa si maarufu sana kama akina Fabrigas na Diego ndomana Viol kataua lakini mie nasema hata akina Torres, Shevchenko, Ballack na Etoo walitua darajani na majina yao leo hii wako wapi?
 
sisi hatuna roho mbaya na nyie ndo maana hata MOSES tuliwapeni kwa mkopo awasaidieni kuchukua ubingwa lakini jilaumuni wenyewe kwa kuteleza ovyo uwanjani..
Mwambie Viol asitishike na majina nyie agust8 akina Sterling, Coutinho na sturridge hawakutikisa media walichofanya last season umekiona, mbaya zaidi Sturridge hapo darajani mlimuona garasa lakini mpaka mwisho wa ligi ndo ivo alkamata nafasi ya pili kwa kutupia.
 
hakuna neno hata KOLO TOURE si ni mchezaji wenu tegemeo?

qwi qwi qwi qwi:A S-eek:

Mwambie Viol asitishike na majina nyie agust8 akina Sterling, Coutinho na sturridge hawakutikisa media walichofanya last season umekiona, mbaya zaidi Sturridge hapo darajani mlimuona garasa lakini mpaka mwisho wa ligi ndo ivo alkamata nafasi ya pili kwa kutupia.
 
twende polepole kaka Di Matteo alinyimwa mkataba kwa kukosa tittle gani? Di Matteo mkataba wake ulikatishwa na bado akaendelea kulipwa mshahara, ilikuwa Novemba 2012. Di Matteo alikuwa amepewa mkataba wa miaka 2 baada ya UCL FINAL. sasa mkataba wa Di Matteo ungeisha mwezi huu.
Grant aliipeleka timu ya 'Mourinho' kwenye fainali ya UCL mjini Moscow, mwezi Mei 2008. tulifungwa kwa penati..baada ya hapo tukamwacha aende..

sisi hatulengi B, au C, sis ni timu inayolenga A, ndo maana tuko hivyo tulivyo..WE ARE CHELSEA FC.

Kikubwa nilichotaka kupoint meneja mwanzo tu mwa ajira yake akifikisha club angalau top 4 ni maendeleo so apewe chance zaidi!
 
umeona eeh?

sisi tuna roho safi sana ingawa nyie majirani mnasahau mapema sana..sasa tumeona dawa tuwapeleke ligi za mbali ili isije kuwa kama Lukaku.
Wakikomaa tu tunawarejesha nyumbani kama tunavyofanya kwa kipa wetu Thibaut Courtois. Sisi watu wa mipango. Tayari tunataka kuwauzieni Ryan Betrand ambaye anacheza kwa mkopo Aston Villa.

Hahahahaha! Acha utani basi @agost 8 namuona Tomas kalas yupo list ya loanplayers natamani Lfc wangemvuta hata kwa mkopo!
 
USAJILI wenu mwaka huu umekaa ki-Tottenham tottenham tu..maana mnajaza wachezaji wengi wanaocheza kiungo na ushambuliaji.
mfano: Lambert na Lallana wanacheza ushambuliaji, eeh? sasa kuna Sturridge, Rahim, Iago Aspas ..mmesahau kwamba chanzo cha shida zenu ni ulinzi na kiungo mkabaji?

hebu tuambie sasa mmejipangaje kukabilana na mambo ya kuteleza[SG], kujifunga[skirtel] na kutoa pasi kwa maadui[kolo toure]?

Hahahahaha! Acha utani basi @agost 8 namuona Tomas kalas yupo list ya loanplayers natamani Lfc wangemvuta hata kwa mkopo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom