huwezi kumfananisha rodriguez na costa,costa average sana
nani anamfananisha COSTA na RODRIGUEZ?
tupunguze ushabiki wa mchezaji kwa sababu ya mechi 7 tu.
Nilichosema mimi mkuu Dully Jr, ni kwamba macho ya CHELSEA FC yako kwenye kutafuta the 'lone striker' basi.
Kuhusu James kuwa bora kuliko Costa, huo ni mjadala mpya kabisa.
Au nikuulize, kama James Rodriguez ni bora sana kiasi hicho kwa nini Le Profeser AW asimsajili?
Bado hadi sasa Diego Costa anafaa kusajiliwa na Chelsea Fc.
sababu:
1.Chelsea inacheza karibu sana na Atletico Madrid.[costa hawezi kupata shida kucheza kwenye mfumo wa Chelsea fc, Hispania inafuata mfumo wa Barca ndio maana ameshindwa kung'aa kwenye kombe la Dunia.]
2.Costa ana nguvu na ni mshambuliaji msumbufu, jambo ambalo litamsaidia kwneye ligi ya Uingereza.
Acha James Rodriguez aende Real Madrid, sisi tuko bize na Diego Costa..:welcome: