Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

super cup -1998, tulimchapa Real Madrid 1-0 na kubeba hiyo ndoo; ambayo majirani zetu ARSENAL FC wanaisikia tu.🙂

1955647176.jpg
 
hahahahahahahah umenfurahsha sn mkuu August8 na hzo pc zk dah!


karibu sana mkuu.
ni muhimu kubobea kwenye mambo yote; mie najua mpira pia naijua chelsea fc nje ndani.

kazi yangu ni kuwaburudisheni na kuwakumbusheni tulikotoka.

CHELSEA FC - BLUE FOREVER.
 
karibu sana mkuu.
ni muhimu kubobea kwenye mambo yote; mie najua mpira pia naijua chelsea fc nje ndani.

kazi yangu ni kuwaburudisheni na kuwakumbusheni tulikotoka.

CHELSEA FC - BLUE FOREVER.



Mkongwe JFH


Hasselbaink.jpg
 
Jimmy Floyd Hasselbaink played for ten clubs over 18 seasons, scoring 245 goals in the process, but it is as a Chelsea player that his career peaked.

Jimmy was a club record signing when he joined form Atletico Madrid in 2000. The fee of £15m could be considered a bargain as he averaged nearly a goal every two games over the next four years.

He scored in the Charity Shield against Manchester United and finished the year with 26 goals. The following year he formed a prolific partnership with Eidur Gudjohnsen and together their goals helped us reach the FA Cup Final. Sadly though, Jimmy was injured in the league game prior to the final and was clearly unfit before eventually being substituted.
Although the goals dried up over the next two years, he helped us to qualify for the Champions League on both occasions. In March 2004 he scored a hat-trick in a win over Wolverhampton Wanderers thereby becoming the only player in Chelsea's history to score three times after coming on as a substitute.





Mkongwe JFH


Hasselbaink.jpg
 
celestine babayaro; cfc 1997-2005.

beki asiyekuwa na makeke..

[QUO



TE=agosti 8;9819721]
BSzmY82CYAEByDN.jpg:large
[/QUOTE]
 
jembe nalikubali sana lilimbania namba graeme le saux licha ya waingereza kulazimisha le saux acheze[/QUOTE]


hata mimi nilikuwa namkubali Babayaro;
 
will DIEGO COSTA be another flop in the box for MOURINHO?Spain striker made just 21 touches against Chile in 2014 WC,with ZERO shots on target in tournament.
teh teh teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom