Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

will DIEGO COSTA be another flop in the box for MOURINHO?Spain striker made just 21 touches against Chile in 2014 WC,with ZERO shots on target in tournament.
teh teh teh teh

Let's wait and see!

Mambo vipi Dully Jr?
 
poa tu mkuu August8 lete mpya,vipi mtanange wa jana wa 5pain na chile
 
Last edited by a moderator:
poa tu mkuu August8 lete mpya,vipi mtanange wa jana wa 5pain na chile


Mkuu Dully Jr, kombe la mwaka huu limetupatia mengi ya kujifunza:

1. Jose Mourinho alikuwa sahihi kumuweka benchi Iker pale Real Madrid. Jamaa uwezo wako golini ulishashuka kitambo. Hajitambui.
2. Mpira wa tik-taki yaani pasi fupi fupi hauna nafasi kwenye dunia ya sasa. Mambo yote ni kaunta kwa sasa angalia kilichowapata SPAIN.

:spit:
 
530950697_32779959.jpg
 


Kijana wetu CHRISTIAN ATSU; bonge la winga..ama kweli CHELSEA FC ina wachezaji wengi sana wazuri. Hata kama tusiposajili kwa miaka 5 bado tunaweza kuwa na wachezaji wazuri. Tunahitaji mtu wa kuingiza mpira golini kwa adui..baaaaaaaaaaasi.:A S 11:
 
03557-mainmedimage.jpg


TULIKOTOKA. hapo ilikuwa Kombe la Dunia-1998[ufaransa]

Argentina vs Uingereza - Juni 30, 1998.

Beki wa kushoto wa Uingereza{Pia Chelsea FC} GRAEME LE SAUX akiwachachafya wachezaji wa Argentina. Mechi hii iliamriwa kwa mikwaju ya penati na Argentina wakasonga mbele.

Legend LE SAUX.
 
tulikotoka: leo hii tunashuhudia GOAL LINE TEC. kama isingekuwa goli hili la FRANK LAMPARD vs Germany WC-2010 bado magoli mazuri kama haya yangeendelea kukataliwa.

Goli hili lilikataliwa; ilikuwa si mchezo..FRANK LAMPARD LEGEND.
Picture-6.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom