Chelski niaje usajili?????????????
football formations:
CHELSEA FC 4-2-3-1.
![]()
hupumziki?? wenzio tuna-enjoy WC
kuna wangapi wa chelsea hapo?
ha ha ah aha ha RRONDO za siku mkuu?
sijapata thread nzuri ya world cup ..nikaona bora nibaki hapa nyumbani kwangu, napita kuchungulia thread zingine nakuta watu wengi ambao si watu wa mpira ndo wanajadili ujinga ujinga, bora nibaki nyumbani..
si unaona tunajadili mambo mengi tu, hata ya WC tunajadili si unajua kuna vijana wetu wanawakilisha kule?
Karibu mkuu RRONDO.:tea:
mmoja,MIKEL