Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[h=2]Nemanja Matic's Characteristics[/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Aerial Duels
[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Dribbling
[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Key passes
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Passing
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Tackling
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Concentration
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=3]- Weaknesses[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD="class: info"] (Player has no significant weaknesses) [/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[h=3]Nemanja Matic's Style of Play[/h]
  • Likes to shoot from distance
  • Likes to tackle
 
hukuangalia kazi aliyofanya playmaker OSCAR?

ni vizuri kuwa fare, CROATIA hawakushambulia kwa nguvu; ngoja kuna mechi za kumpima LUIZ kaka..umesahau CHELSEA FC tulipofungwa na ATM 4-1 kwenye super cup?


Luiz huwa on and off..kila mtu anajua hilo. lakini hukatazwi kumshabikia kaka.
for me Terry na Cahill the best partnership.:israel:

Kwa kweli jana men of the match walikuwa ni Oscar na Neymer walishughulika ni balaa hongereni bana dogo lenu Oscar linazidi kuimarika!
 
asante jirani; karibu leo ufurahie vijana wetu angalau wanacheza:

Cesar Azpilicueta, Torres, Fabregas, na Diego Costa..bila kusahau babu Etoo, bado wetu hadi mwezi wa 8.
Kwa kweli jana men of the match walikuwa ni Oscar na Neymer walishughulika ni balaa hongereni bana dogo lenu Oscar linazidi kuimarika!
 
Yaya-Toure.jpg


Nemanja Matic's Characteristics

+ Strengths

[TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Aerial Duels [/TD]
[TD="align: right"] Very Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Dribbling [/TD]
[TD="align: right"] Very Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Key passes [/TD]
[TD="align: right"] Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Passing [/TD]
[TD="align: right"] Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Tackling [/TD]
[TD="align: right"] Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Concentration [/TD]
[TD="align: right"] Strong[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

- Weaknesses

[TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD="class: info"] (Player has no significant weaknesses)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Nemanja Matic's Style of Play


  • Likes to shoot from distance
  • Likes to tackle
 
Jana nimeangalia mpira kwa hamu ya kumuona D. Luiz akifanya kosa lakini wapi! Lile own goal kwa haraka nilidhani ni Luiz..kidogo niruke kwa furaha. I was looking for a reason ya kumchukia na kusema ni afadhali ameondoka (liability) ila jana kacheza vizuri sana aisee...inaniuma sana kumuona akiondoka!

Ni bonge la figure in and out the field!

Teh teh teh! Lakini hata ivyo limeingizia club mkwanja £50m ni parefu kidogo!!
 
kweli kama Mentor alivyosema; namba ambayo iko hatarini ni ya Ramires; kwa sababu FABREGAS anang'aa zaidi kwenye dimba; ndo maana Barcelona Cf, alishindwa kung'aa kwa sababu hakupewa dimba kubwa; sasa kweli Ramires anakuwa hatarini..ila si Ramires peke yake; hata Obi Mikel. Kombinesheni ya Matic na Fabregas itakuwa imara sana tena sana; kule mbele Willian,Oscar,Hazard..na Costa. balaa tupu msimu ujao.:israel::israel:


Wakuu mi naona kuzidi kuimarika kwa kikosi cha Chelsea choote kwa ujumla! Kwasababu Ramires na Faby NA Matic NA Obi Hawa watakua wanapishana kila game Kwasababu Lengo Hasa la chelsea kwa msimu ujao Ni kuchukua vikombe! Sasa tutachukua vikombe kwa kikosi gani? Lazima tuwe na timu imara NA Super Sub za nguvu! Yani kikitoka kitu unaweka kitu! Sipati picha kwa kz hapo ktk hizo Mid za Kati za Chelsea msimu ujao!

Faby Ni mzuri NA Ramires Ni mzuri NA Ramires ana Kasi sn ambayo Faby anahitaji kuifikia ingawa Faby Ni Fundi NA ata Ramires Ni Fundi akiwa Kasi ila Faby anahitaji kuongeza kidogo juhudi na Anaweza kufikia kiwango kizuri tu ambacho Jose anataka
 
Morinyo akishapata striker usitegemee kama Oscar atakuwa na nafasi kama mwanzo,Morinyo anaangalia work rate ya mchezaji,Cesc anaweza kuzuia/kukaba kutengeneza nafasi na kufunga labda kama Morinyo atamzuia asiende mbele.Na hii FFP iliyoanzishwa Jose wala hajiulizi kuuza mchezaji

Sidhani mkuu Belo.

Mtazamo wangu ni kuwa, kwa 4-2-3-1 formation team itakuwa kama hivi;

Hao 2: Matic, Mikel, Fabregas

Hao 3: Oscar, Schurrle, Willian, Hazard, Salah

Hiyo 1: Ba, Lukaku, Costa, Torres (I guess kuna mmoja wao atauzwa msimu huu au Costa deal lita-bounce)
 
Last edited by a moderator:
dah!mungekuwa munampamba na kumsifia hivi wakati yupo ARSENAL ningewaona kweli watu wa football lakini kihivi dah mnanipa shida kuwatafsiri August8 na fans wenzio wa daraja la mabua
 
Last edited by a moderator:
dah!mungekuwa munampamba na kumsifia hivi wakati yupo ARSENAL ningewaona kweli watu wa football lakini kihivi dah mnanipa shida kuwatafsiri August8 na fans wenzio wa daraja la mabua


ndo maisha ndugu yangu Dully Jr, unasifia kitu ulichonunua wewe mwenyewe..
uwezo wa FABREGAS unajulikana tangu akiwa YOUTH ACADEMY, lakini sasa mwenyewe amesema CHELSEA FC ni sehemu sahihi ya kuwa..

Poleni lakini..hatukupenda kuwaumizeni..:A S 103:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom