Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,462
Ntuzu na agost 8 niliwambia msim ulipokua unaanza kuwa mtarusha taulo mapema
Agh Chelsea wamefulia sana hawana sera..ni mikelelelelelele tuKutoka kwa Man City na Liverpool team yako ya Chelsea ilichukua the maximu points lkn walifika wapi?
Tatizo la Chelsea ni mfumo sio mchezaji!Leo Demba Ba anafunga bao 2 kesho hata reserve hatajwi!
Unamfunga Liverpool home and away anakuchapa Sunderland kwako mechi ya lala salama
Kutoka kwa Man City na Liverpool team yako ya Chelsea ilichukua the maximu points lkn walifika wapi?
Tatizo la Chelsea ni mfumo sio mchezaji!Leo Demba Ba anafunga bao 2 kesho hata reserve hatajwi!
Unamfunga Liverpool home and away anakuchapa Sunderland kwako mechi ya lala salama
Agh Chelsea wamefulia sana hawana sera..ni mikelelelelelele tu
1.Mignolet
2.Johnson
3.Moreno
4.Skrtel
5.Agger
6.Captain
7.Lallana
8.Henderson
9.Stur
10.Sue
11.Can
Reserves:
Vorm(GK)
Flano
Sakho
Lambert
Coutihno
Sterling
Yaani anatoka NYERERE anaingia JUMBE!
1.Mignolet
2.Johnson
3.Moreno
4.Skrtel
5.Agger
6.Captain
7.Lallana
8.Henderson
9.Stur
10.Sue
11.Can
Reserves:
Vorm(GK)
Flano
Sakho
Lambert
Coutihno
Sterling
Yaani anatoka NYERERE anaingia JUMBE!
Ntuzu na agost 8 niliwambia msim ulipokua unaanza kuwa mtarusha taulo mapema
Na mwisho msimu nini mmekipata? Mbona hujamalizia..?RAHA YA MAISHA umnyamazishe jirani yako.
CHELSEA 2 - 0 ARSENAL FC [capitol one cup; EMIRATES]
CHELSEA 0 - 0 ARSENAL FC [premier league; EMIRATES]
CHELSEA 6 - 0 ARSENAL FC [premier league; STANFORD BRIDGE]
total goals: CHELSEA FC 8 - 0 ARSENAL FC.:shock:
Na mwisho msimu nini mmekipata? Mbona hujamalizia..?
Huu mwaka wetu jamani mtuache.. costa karibu kwa mabingwa..
the striker; big #9
kama irizi ya drogba kaiondoa atashine tu.
Huu mwaka wetu jamani mtuache.. costa karibu kwa mabingwa..
M-meamua kuchukua magharasa...duhthe striker; big #9
Ni kweli tulijitangaza; lakini hata nyinyi mlisema ikifika DESEMBA kabla ya Krismasi mngekuwa mmerudi kileleni #1 au siyo?
Kutaka kuwa bingwa ni tamaa ya kawaida ya kila timu yenye uongozi makini na wachezaji wanaojitambua!
Lakini katika ushindani ni kawaida kuzidiana kete.
sisi #3 tumezidiwa pointi 4 tu. Si mbali sana na bingwa; vipi wewe mtani RRONDO at #7?