Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

teh teh teh teh naona umeanza tena kuweweseka na record zako za kuokoteza.
BTW London is always reds.
#AnsateRoman .

RANGI GANI HII?

Arsenal fans have given a mixed reaction to the latest leaked kit image, this time for the new 2014/15 third shirt made by Puma.

The design features a light blue base colour and navy blue diagonal stripes running across the front.
It is completed with a polo neck collar and light green cuffs.

article-0-1E79CF5C00000578-435_634x608.jpg

+7

Blues is the colour: Leaked image of Arsenal's third shirt has divided opinion

White Puma logo’s are placed on the side of both sleeves and the right collarbone, the Arsenal badge is placed on the left collarbone.

Lugha uliyotumia kumsahihisha RRONDO imeondoa maana nzima ya kusahihishana na ni lugha inayokera!

Jamvi hili tunarekebishana kwa ustaha!Tafadhali kuwa muungwana kuliondoa bandiko lako hasa neno"kilaza"

we nawe sijui tuseme unasuluisha au ndio unachonganisha!" .......... au ndio kutafuta umaarufu?!, mi cjamwita kilaza. nimemwambia ataonekana kilaza kw kutamka maneno bila kufanyia utafiti!"
RRONDO we know you kwa weledi wako wa kuchambua soka!Jamaa aliyekujibu alitakiwa akusahihishe tu sio kutumia lugha ya hovyo hovyo kama hiyo!

Sisi tunao andika hapa kila siku kuhusu soka tunatambua ulichanganya mambo tu

Sijakusoma mkuu dhumuni lako hasa?!" ......... try me!
 
Last edited by a moderator:
we nawe sijui tuseme unasuluisha au ndio unachonganisha!" .......... au ndio kutafuta umaarufu?!, mi cjamwita kilaza. nimemwambia ataonekana kilaza kw kutamka maneno bila kufanyia utafiti!"

mkuu RRONDO aliteleza; na yeye mwenyewe RRONDO amekubali. Kosa la Malafyale ni kutaka kuongeza mafuta kwenye moto. Mkuu RRONDO alikuja mbio kutaka kutucheka kwa sababu ya kumsajili DIEGO COSTA.

lakini matokeo yake ndo hayo..
 
RRONDO we know you kwa weledi wako wa kuchambua soka!Jamaa aliyekujibu alitakiwa akusahihishe tu sio kutumia lugha ya hovyo hovyo kama hiyo!

Sisi tunao andika hapa kila siku kuhusu soka tunatambua ulichanganya mambo tu

unamaanisha nini kusema "we"?
 
RRONDO we know you kwa weledi wako wa kuchambua soka!Jamaa aliyekujibu alitakiwa akusahihishe tu sio kutumia lugha ya hovyo hovyo kama hiyo!

Sisi tunao andika hapa kila siku kuhusu soka tunatambua ulichanganya mambo tu

ubaguzi; hutaki wageni jamvini?🙂
 
mkuu RRONDO aliteleza; na yeye mwenyewe RRONDO amekubali. Kosa la Malafyale ni kutaka kuongeza mafuta kwenye moto. Mkuu RRONDO alikuja mbio kutaka kutucheka kwa sababu ya kumsajili DIEGO COSTA.

lakini matokeo yake ndo hayo..

ndio mana nashangaa povu limemtooka!" kwa jambo hata halimuhusu, jamaa niliyemquote kaelewa nilichokua namaanisha na kaadmit alichanganya!" .......... sasa sijui tatizo lake ni nini?!
 
ha ha ha ha sawa kaka, ni kweli kabisa niliwahi kuwacheka kumbe nimemix desa!!! ila kumbuka mimi ndio wa 'mwanzo' kuleta breaking news ya costa jukwaa hili...
Malafyale nafurahi kukusikia ukisema unaonaga michango yangu humu...... Kidume naamini hukuwa na nia mbaya,uliniwahi sekunde chache tu kabla sijadelete hio post baada ya Belo kunisahihisha
 
Last edited by a moderator:
RRONDO we know you kwa weledi wako wa kuchambua soka!Jamaa aliyekujibu alitakiwa akusahihishe tu sio kutumia lugha ya hovyo hovyo kama hiyo!

Sisi tunao andika hapa kila siku kuhusu soka tunatambua ulichanganya mambo tu

asante kaka,ubarikiwe.
 
ha ha ha ha sawa kaka, ni kweli kabisa niliwahi kuwacheka kumbe nimemix desa!!! ila kumbuka mimi ndio wa 'mwanzo' kuleta breaking news ya costa jukwaa hili...
Malafyale nafurahi kukusikia ukisema unaonaga michango yangu humu...... Kidume naamini hukuwa na nia mbaya,uliniwahi sekunde chache tu kabla sijadelete hio post baada ya Belo kunisahihisha

Well said RRONDO.
:A S thumbs_up:
 
ndio mana nashangaa povu limemtooka!" kwa jambo hata halimuhusu, jamaa niliyemquote kaelewa nilichokua namaanisha na kaadmit alichanganya!" .......... sasa sijui tatizo lake ni nini?!

Anatafuta umaarufu au?
 
JOHN TERRY

PA-468590.jpg

Chelsea, 2001/03: Clean, uncluttered, sufficiently blue and one of the last couple of Chelsea kits to feature the club's far superior old ‘CFC/lion' badge.
 
ndio mana nashangaa povu limemtooka!" kwa jambo hata halimuhusu, jamaa niliyemquote kaelewa nilichokua namaanisha na kaadmit alichanganya!" .......... sasa sijui tatizo lake ni nini?!

Kijana wewe you have to choose ur words wisely!Povu linamtoka ni swahili ya"hovyo hovyo"!Fikisha ujumbe wako bila kutumia lugha za ajabu ndiyo unaeleweka kiurahisi zaidi!
 
we ni nani?! hasa mpaka unipangie lugha ya kutumia!" ..........
 
If you do not know the meaning of "WE" then I can not help you!Go goggling it!

nawasiwasi na uelewa wako!" ndio mana povu huwa linakutoka hata kwa mambo yasiyokuhusu ....... alipokuuliza kuhusu "we" amekushangaa unatumia wingi wakati upo mwenyewe, "we"?! ww na nani?!
 
nawasiwasi na uelewa wako!" ndio mana puvu huwa linakutoka hata kwa mambo yasiyokuhusu ....... alipokuuliza kuhusu "we" amekushangaa unatumia wingi wakati upo mwenyewe, "we"?! ww na nani?!

well said kidume!:A S thumbs_up:
 
Umaarufu wa JF uchukue wewe!Lugha za vijiweni zinaonyesha tuna deal na watu gani hapa!

Mkuu neno "umaarufu" limehamia kijiweni tangu lini?

Maarufu = mashuhuri, sifa, kujulikana. Unapotumia 'we' wakati uko peke yako kusudi lako ni kutafuta kuungwa mkono, ndo maana nikasema unatafuta umaarufu. Hapa ni CHELSEA FC THREAD. tunasifia na kuzungumzia mambo ya CHELSEA FC na ushabiki wa timu hii.🙂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom