DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
kombe hili katika timu zote za london limechukuliwa na chelsea fc pekee!
Kwa uingereza ni timu 3 tu:
Chelsea fc
liverpool fc
man united fc
kweli mkuu
kombe hili katika timu zote za london limechukuliwa na chelsea fc pekee!
Kwa uingereza ni timu 3 tu:
Chelsea fc
liverpool fc
man united fc
kweli mkuu
kweli lakini;
faida ni kwamba mchezaji akicheza vizuri WORLD CUP huenda ikamfanya achangamke anaporudi kwenye club.
Kombe la Dunia 2010, Torres hakufunga goli hata 1. Wakati huo Torres alikuwa mchezaji wa LIVERPOOL.
Alipokuja Chelsea akaendelea na hali hiyo hiyo...so sometimes siyo mfumo.
Kwa sababu CHELSEA FC wanacheza 4-2-3-1 inayotumiwa na timu nyingi sana kwa sasa; hata timu za taifa.🙂
Mifumo ya mourinho sio rafiki kwa foward kama torres,mandzukic,giroud n.k kwani hawa ni fowrd za ndani ya box......ambao mara nyingi wanasubiri move za kutengenezewa na viungo,sasa viungo krb wote wa chelsea wana njaa ya magoli oscar,hazard,lampard,matic,luiz n.k ni watu wa kujaribu kufunga mda wote, na mourinho akipaki basi lake hadi willian,lampard,schurre n.k wanageuka mabeki na kuwaacha hawa strkr tegemez wakiwa yatima,
chelsea inahtaj fowrd km drogba,suarez,cr7,sturridge n.k hawa wanafunga kila upande kushoto,kulia,juu hata mbali...

kwa mtaji huu torres hawezi kufunga magoli mengi chelsea labda mbadilishe viungo na aina ya uchezaji,jiulize kwanini mata aliuzwa?
chelsea hakuna mtu anayepewa jukumu kama la mesut,xavi,iniesta,yaya, au pirlo yani anakuwa anatengeneza nafasi za kufunga
kwenye ukweli tunasema: Si kila wakati ubishi. Sisi chelsea fc + man utd + liverpool fc wawakilishi wa england kwenye champions league.
Itabidi arsenal fc wajitahidi pia misimu ijayo walitwae ili tuheshimiane vizuri. Mwaka 2006 walibaki kidogo walibebe..specialist alichelewa kidogo kufanya mabadiliko, au vipi?
hatuwezi kubishana na ukweli,tugange yajayo
kwenye ukweli tunasema: Si kila wakati ubishi. Sisi chelsea fc + man utd + liverpool fc wawakilishi wa england kwenye champions league.
Itabidi arsenal fc wajitahidi pia misimu ijayo walitwae ili tuheshimiane vizuri. Mwaka 2006 walibaki kidogo walibebe..specialist alichelewa kidogo kufanya mabadiliko, au vipi?
kweli mkuu Dully Jr;
hivi wewe huwa ni mdau wa ARSENAL FC?🙂
The arrival of Dutch winger Arjen Robben and new manager José Mourinho posed a threat to Duff's place in the starting line-up for the 2004–05 season, but an injury to Robben at the start of the season saw Duff as the only available winger. Mourinho, however, did not play Duff in the early part of the 2004–05 season, preferring a more narrow approach. Duff eventually got into the side after four games and, when Robben returned to the side, Duff's versatility saw him move to the right wing and form a wing partnership with Robben. The season proved to be successful for both Duff and Chelsea. He scored ten goals, including a crucial strike in a 4–2 win against Barcelona in the Champions League,[SUP][13][/SUP] while the team won the Premiership title by 12 points from second placed Arsenal, and the League Cup, in which Duff scored the winning goal in the semi-final against Manchester United.[SUP][14][/SUP][SUP][15][/SUP][SUP][16][/SUP]
yap!mimi ni mdau wa ARSENAL F.C DAIMA
Dah!ile comb ya duff,robben na drogba ilikuwa kiboko,yan pasi mbili nyavu washenzi walikuwa wanateleza dah
ROBERTO DI MATTEO
![]()
Roberto Di Matteo was signed from Lazio in the summer of 1996 for a club record fee at the time of £4.9m as Chelsea looked to make the break through and challenge for honours. At the time Robbie was a current Italian international and at the age of 26, approaching the peak of his powers.
Di Matteo made a great start to his Chelsea career, scoring the winner against Middlesbrough in his home debut but it was the manner of his celebration that was best remembered as he coolly lay down on the pitch next to his team mates and posed for the cameras.
In his first season at the club Robbie scored nine goals, mostly from long-range shots. The most significant came after just 43 seconds of the 1997 FA Cup Final, a record at the old Wembley. A year later he scored in the League Cup Final victory, and in 2000 completed a hat-trick by scoring the only goal of the FA Cup Final. In doing so, he became only the second Chelsea player to score in three different cup finals.
Robbie was also central to our success in the European Cup Winners' Cup and our run to the Champions League quarter-finals, but sadly he suffered a triple leg fracture in a Uefa Cup tie in September 2000. After 18 months of battling the injury, he was forced to retire at the age of just 31.
He returned to the club in 2011, initially as assistant coach to Andre Villas-Boas but then as interim manager in March 2012 when the Portuguese was dismissed. Robbie further enhanced his legend status by soon winning the FA Cup final against Liverpool, and then most spectacularly of all by securing our first Champions League title by defeating Bayern Munich in their own home. His time in charge of Chelsea came to an end in November 2012.