weka na wewe data zako au una shingo bila kichwa?🙂
Dah!!!
Kwa hizo data basi ungekuwa ni tajiri zaid ya Arsenal..coz tangu 2004 umebeba makombe mengi na mafanikio mengi zaid ya Arsenal!!!