The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
timu yako ilikuwa bingwa mara 18, ajabu imesimama kwa miaka 25 bila ubingwa..hiyo ni kuthibitisha kwmba umefulia.
:A S-confused1:
who cares?
timu yako ilikuwa bingwa mara 18, ajabu imesimama kwa miaka 25 bila ubingwa..hiyo ni kuthibitisha kwmba umefulia.
:A S-confused1:
sio mbya,kuna timu ilingoja kwa miaka 50,ikaja kushinda!
who cares?
aisee.
Bora ndugu yng usiwe unajuta kuishabikia LFC njoo kwa Chelsea!
who cares?
Bora ndugu yng usiwe unajuta kuishabikia LFC njoo kwa Chelsea!
ingekuwa rahisi hivyo kubadilisha timu,ningehamia man city! Chelsk is not made to play football,hayo maneno ya hazard,me naona pale mnacheza rugby
ingekuwa rahisi hivyo kubadilisha timu,ningehamia man city! Chelsk is not made to play football,hayo maneno ya hazard,me naona pale mnacheza rugby
jana CP kakufanyaje?
sasa vile mlivyocheza ndo 'kucheza mpira'..mkome.
safi sana CP. ubingwa si mali yenu; :smile-big:
mnafiki wewe.. ndo maana mmelia kama watoto wadogo jana.
timu gani mnatangulia goli 3 alaf zinarudi zote.. LFC are made to play NETBALL.
hahahaha! Umecharuka mkuu agosti 8,kama vile nimekutia kidole kwenye jicho la tatu! Ha ha ha ha ha!
Khe Khe Khe Khe
NAJUTA MIE KUIPENDA HII TIMU "LIVERPOOL" mtu unalia hazarani namna hii?!!
To have been 3-0 up, it feels like a loss. Its very quiet.
The players are devastated. We were outstanding for 78 minutes. But in the last 12 minutes we didnt defend at all with any cohesion.- brendan rodgers.
Khe Khe Khe Khe
NAJUTA MIE KUIPENDA HII TIMU "LIVERPOOL" mtu unalia hazarani namna hii?!!
ofcourse for how stupid they played yesterday? Nilijuta! A very stupid defence