ofcourse for how stupid they played yesterday? Nilijuta! A very stupid defence
TODAY you like 'defending'?:shock:
ofcourse for how stupid they played yesterday? Nilijuta! A very stupid defence
TODAY you like 'defending'?:shock:
TODAY you like 'defending'?:shock:
we jamaa bhana,huwa nakufananisha na wabunge wa ccm,unapenda sana kujitoa ufahamu! Kuna timu isiyo defend duniani?
we jamaa bhana,huwa nakufananisha na wabunge wa ccm,unapenda sana kujitoa ufahamu! Kuna timu isiyo defend duniani?
Defend ni muhimu hakuna isiyopenda kukaba ila sio ukabaji Roba mpaka Striker naye anakuwa beki 5 huo ni ubakaji sikukaba mwengine umezidi unahitaji kufungiwa jela. Kaba kama wanavyofanya Chelsea muda mwingine inakuwa kama Norwich walivyofanya kwenu kaba mpaka inakuwa karaha ile. Penye kusifiwa lazima msifiwe unazi pembeni ila kwenye ukweli pia kuwepo namkubali kuchukua ukweli mbona wengine tunakubali?
He seems to like parking BUS as well!

sisi tumekubali tangu mwanzo kwamba hatuna 'strikers' msimu huu.
mbona nyinyi hamkubali kwamba 'hamna mabeki'?
sisi tumejaza mabeki lakini hao hao mabeki walifunga magoli 2 pale ANFIELD tarehe 27 mwezi wa 4 mwaka 2014.:smile-big:
kwanini ukweli ukataliwe mastriker mnao ni butu ila mabeki kweli wetu wanaubovu ndomana hao strikers butu wakafunga na ndomana sababu ya hao strikers mpo juu yetu au mpo wapi?Mkuu agosti 8 kwa hii Hoja yako hapa, wakija kukujibu na kukataa ujue ni wabishi tu!
kwanini ukweli ukataliwe mastriker mnao ni butu ila mabeki kweli wetu wanaubovu ndomana hao strikers butu wakafunga na ndomana sababu ya hao strikers mpo juu yetu au mpo wapi?
Sahauuuuu nitashangilia Chelsea mwaka ujao mzima kama kweli Newcastle akitufunga tukawa wa 3 au mta vote Pazi awe timu gani haitotokea.Pazi tulia wewe, NEWCASTLE watakuharibia utashangaa.
unaweza kukamata #3 ligi bado sana hii..oooh!:faint2:
![]()
Our youth gave us something to smile about...