Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona droo ya Norwich imewatoa watu Mafichoni tehtehtehteh kaaaaazi kwelikweli!
 
epl title WAITING:

chelsea fc waiting for 4 yrs.
arsenal fc waiting for 10 yrs.
man utd just lost.
man city waiting for 2yrs.
liverpool fc waiting for 24 yrs.

man city before 2012,waited for 42 years,no question there! Liverpool have never won premier league since 1990,it's now 24 years! Chelsea waited pl title for.....(hapa ndo nataka ujaze)years before wining it in 2005.
 
epl title WAITING:

chelsea fc waiting for 4 yrs.
arsenal fc waiting for 10 yrs.
man utd just lost.
man city waiting for 2yrs.
liverpool fc waiting for 24 yrs.

aaah brother umerudi. za kupotea? hii comment nimeipenda ila hako ka mstari bold kangeanza juu ingekuwa poa.
 
Pesa za torres financially zilirudi kwenye mauzo ya jezi ila uwanjani ndo hajatoa output worth the price.

Pili sijawahi badili jina since 2008...lete hoja nyingine.


naona watu mpira umewashinda wanaamua kuwa 'financial analysts'
 
CFC kiboko ya LIVERPOOL, ARSENAL, MAN UTD, MAN CITY, SPURS, SOUTHAMPTON, kati ya hao hakuna aliyethubutu kupata ushindi msimu huu kwenye EPL.🙂

Vipi kuhusu Crystal palace, Sunderland na Aston vila.
 
Chelsea ya tatu kwa kusubiri!

Arsenal NA Liverpool hoi bin taaban!

ngoja niwasaidie! You waited for 50 years to win the league,kabla ya kushinda 2004/5,mara yenu ya mwisho kushinda ligi ilikuwa msimu wa 1954/55,kwahiyo sisi miaka 24 bila pl title sio ishu kabisa! Tumeelewana nyie viumbe? Cc. agosti 8 Mentor
 
Last edited by a moderator:
ngoja niwasaidie! You waited for 50 years to win the league,kabla ya kushinda 2004/5,mara yenu ya mwisho kushinda ligi ilikuwa msimu wa 1954/55,kwahiyo sisi miaka 24 bila pl title sio ishu kabisa! Tumeelewana nyie viumbe?

Aaaah! Ulipaswa kuwaacha wakupe kujibu maana hawa wanajifanya kujitoa ufahamu maana naona wakuu wote watatu wamekimbia kulijibu swali lako hawa
#AnsanteRoman .
 
kwa kukusaidia wewe na wenzako wengine ambao ni wavivu wa kufikiri::der:


kwenye mashindano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE team zinapata pesa ya kutosha. Ndo maaan 'specialist in failure' mzee Wenger akipata top 4 tayari kashatulia...hana shaka.

kwenye hatua za makundi tu: kila timu hupata paundi M.8.6
kuna mapato yatokanayo na 'market - pool'
kuna mapato unapata ukicheza: ukishinda unapata paundi M.1, ukitoka sare paundi laki 5.
kuna mapato ya kufuzu kwenye hatua ya 16 bora: ambapo timu ikifuzu inapata M.3.5,
timu ikifuzu nusu final inapata pesa.
ikicheza fainali inapata pesa..

THAT'S BUSINESS.
🙂

MFANO MDOGO TU: msimu wa 2012/2013.
CHELSEA ilitolewa kwenye hatua za makundi tu. Lakini ilivuna juml aya Paundi milioni 30, na laki saba.

source: uefa.com

Haya tuwekee na mtiririko wa pesa mlizotumia kwenye usajili after mou to come....Hahahaaaa
 
ngoja niwasaidie! You waited for 50 years to win the league,kabla ya kushinda 2004/5,mara yenu ya mwisho kushinda ligi ilikuwa msimu wa 1954/55,kwahiyo sisi miaka 24 bila pl title sio ishu kabisa! Tumeelewana nyie viumbe?

Hahaaaaaa aiseeeee.... agosti 8, Ntuzu, Mentor Kumbe ndo mana swali lilikuwa gumu(The red is an answer)
 
Last edited by a moderator:
kocha amesaini miaka 4.
msimu wa kwanza timu ipo top 4 kwenye EPL.
timu imetolewa kwenye NUSU FAINALI ya UCL.

Subiri msimu wa pili utazungumza sana.

LFC msimu wa kwanza wa Rodgers ilikuwaje?

Huo huo msimu wake wa kwanza, amespend kiasi gani?..
 
juan mata kauzwa United kwa Paundi M.37
tumenunua Salah kwa M.11 + Matic kwa Matic M.22?

bado chenji imebaki.

NB; tumeuza Kelvin De Bruyne kwa M.18 kule Ujerumani.🙂

Wilian, Etoo, schurrie, Atsu, Zouma, Van ginkel, mliwanunua msimu gan???
 
umekaa miaka 24 bila EPL alaf unabwabwaja hapa..acha uchizi Mosdef.:der:

Me tangu club nnayoishabikia haijawahi kuInvest HELA nyingi kama BOSS wenu anavyofanya.

Ndo maana, tunashangaa, club kama hyo imeshindwa vipi kupata hata kikombe cha chai msimu huu!!!

Damn!!!!
 
man city before 2012,waited for 42 years,no question there! Liverpool have never won premier league since 1990,it's now 24 years! Chelsea waited pl title for.....(hapa ndo nataka ujaze)years before wining it in 2005.

we live in the present; we are talking about waiting; not waited.
BUT you LFC waited and you're still waiting for 24 yrs.


 
ilikuwaje?

tarehe 27 aprili? imekuja na kupita.🙂
Me tangu club nnayoishabikia haijawahi kuInvest HELA nyingi kama BOSS wenu anavyofanya.

Ndo maana, tunashangaa, club kama hyo imeshindwa vipi kupata hata kikombe cha chai msimu huu!!!

Damn!!!!
 
hakuna hasara hapo..fedha zinapatikana kwa mataji yetu misimu yote miwili zinatosha kununua hao wachezaji.

simple mathematics..but you hate learning.🙂
Wilian, Etoo, schurrie, Atsu, Zouma, Van ginkel, mliwanunua msimu gan???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom