Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

we can lose the battle...but not the war.

article-2620086-1d92c58700000578-63_308x232.jpg

wajemeni zile pipi zote mmemaliza kwi kwi... ..... ... .. Snuf snuf!

article-2620086-1d92d35a00000578-419_634x431.jpg

emo... ...ptional .. . .... . .wapi anajua zile £150 ,000 kwa wiki
haziendi tena kwenye account cash cole failed to hold back
the tears during chelsicks parade lap at the cow shed on sunday

article-2620086-1d92b4f400000578-276_306x423.jpg

machozi ya mamba ... ..

article-2620086-1d92b2db00000578-486_306x423.jpg

sad day snuf .. .. Snuf ... ... Snuf.... . Cash tears have fuelled
suggestions he will leave chelsick when his contract runs out

article-0-1d92ab5200000578-853_634x460.jpg

good pals: Cash shares a hug with chelsicks team-mate
the pensioner following sunday's match with norwich

article-0-1d92c76400000578-266_634x500.jpg

ati kiongozi ... .. Khe khe khe kheeeeee
kiongozi wa kuuza unga khe khe khee

article-2620086-1d92c9f900000578-403_306x423.jpg

uchijali njoo nikufundishe kuuza unga

article-2620086-1d92bd0500000578-796_306x423.jpg

chacha ile biashara ya kuuza unga
na wizi kwenye super markets itashamiri ... ..

article-2620086-1d92ac0b00000578-433_634x417.jpg

it came to this!

article-2620086-1d7bd84600000578-324_634x439.jpg

trophless year for chelsick khe he khe khe khe
khe kheeeeeeeeeeee pamoja na ngawira zote mlizotoa

BOSS wenu anamwaga HELA nyiiingi, afu bado tu ham-mtendei haki..

Sjui kwako wewe, ila kwangu mimi, sikutegemea kabisa kabisa Chelshit kutoka mikono mitupu msimu huu!!

Moyoni wewe ni Chelsea fc.

CFC 2- 0 LFC.
CFC 6 - 0 ARSENAL.
CFC 3 - 1 MAN UTD.
CFC 4 - 0 SPURS.
CFC 2- 1 MAN CITY.
 
hiyo quote ilikuwa ni dongo kwa Arsene Wenger!!!!

We All know that!!!

What about this???
View attachment 155907
hiyo quote aliitoa mwanzo wa msimu kabisa..ukisoma hayo maandishi machache hapo chini ya hiyo title..nahisi utaelewa vizuri!!

It was a swipe at Man city first of all kwa sababu ndiyo timu iliyojitolea kuwekeza kwa ajili ya mafanikio.

And then Ars6 wakaifanya kama ya kwao. Well it might be true...lets see what Hull can do!!!
 
BOSS wenu anamwaga HELA nyiiingi, afu bado tu ham-mtendei haki..

Sjui kwako wewe, ila kwangu mimi, sikutegemea kabisa kabisa Chelshit kutoka mikono mitupu msimu huu!!

Wewe unafikiri Chelsea inajiendesha kwa hasara KM nyie? Pesa ilisharudi mpk chenchi wewe!
 
It was a swipe at Man city first of all kwa sababu ndiyo timu iliyojitolea kuwekeza kwa ajili ya mafanikio.

And then Ars6 wakaifanya kama ya kwao. Well it might be true...lets see what Hull can do!!!

Nashukuru kwa kuelewa!!!
 
and you?

0 premier league title in 24 yrs.:shock:

kila siku huwa nauliza hili swali hapa sijibiwi! Naomba leo unijibu ndugu! Before hamjachukua Epl title 2004/05 season,miaka mingapi ilipita mkisubiri? Man city walisubiri miaka 42,kabla hawajachukua mwaka 2012,sisi miaka 24 tu? Mbona michache?
 
Dont forget, "..24 years and counting..."
 
ukishajua hilo; sasa hupaswi kubwabwaja kwamba CFC imekosa kombe mwaka huu! Mwaka mmoja tu si sawa na miaka 24 jamani; punguzeni pumba zenu.:der:
 
ameshindwa kuelewa kwamba kufika NUSU FAINALI kuna hela kuliko kubwa bingwa wa FA.
Sisi CFC tumetengeneza hela nyingi mwaka huu kuliko hoa mitimu ya kizamani.🙂
Dont forget, "..24 years and counting..."
 
kocha amesaini miaka 4.
msimu wa kwanza timu ipo top 4 kwenye EPL.
timu imetolewa kwenye NUSU FAINALI ya UCL.

Subiri msimu wa pili utazungumza sana.

LFC msimu wa kwanza wa Rodgers ilikuwaje?
Tatizo linalokuja hapa ni kwamba, huo ubabe umekupa nini hasa???

Je umewapa kitu ambacho BOSS wenu alikuwa anakitarajia???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom