Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Torres anacheza kama lone straika, anakabwa na watu wanane sasa sijui huo mpira ataupitisha wapi mpaka utinge nyavuni!

Kila timu inakaba kinyama, kila mchezaji ni beki ...Asavali Chelsea inakipiga na straika wawili.

Mido mwaka huu ipo tete kidogo ndio maana anajaribu kuilinda, lakini mda unavyoenda chelsea watatoa tu nafasi maana watapata uroho wa goli
 
Dakika 20 zimekwishakwenda na sidhani kama Liverpool wataweza kupata chochote kwenye game hii.
 
Watani Chelsea wana timu ngumu sana na sijui ni kwanini walifungwa na Wigan.

Leo naona Torres amebanwa na watu watatu John Terry, Branislav Ivanovic na Michael Esien.

Wakti huohuo Michael Ballack, Frank Lampard na Deco wanalinda eneo la kiungo.
 
Tulizidiwa kaka na ile red card kwa Czec ilikchangia sana! Mpira ndivyo ulivyo
 
Game over! Hongereni Chelsea. Malouda anafunga killer goal.

Arsenal wanashika nafasi ya nne.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom