Mkuu LEGE acha roho mbaya kwani hujui kuwa chelsea ndo mwakilishi pekee kutoka EPL.
Tuipe surpot kwa pamoja.
Half tym bora behewa limenyanyuliwa na crane chelsea 1-1 Atm
hakuna kitu kama hicho mkuu adui mwombee njaa muwakilishi pekee kwani mm mwingereza???
kwikwikwikwikwikwikwi umenifurahisha sana etimwakilishi pekee wa nini au nani??
mm ni Liverpool wewe ni Chelsea sasa mim mshabiki WA Liverpool Chelsea inanihusu nini??