MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
are you sure?
Kama nisingekuwa na uhakika, nisingeandika hivyo.
are you sure?
Arsenal and Liverpool target Eden Hazard admits he is flattered by reported interest from Champions League winners Barcelona.
The Lille midfielder has been continually linked with a move to the Barclay's Premier League after scoring seven goals for the French champions.
And the Belgian international was delighted to hear of Barca's reputed interest.- source Daily Mail UK
Barcelona CF walikuwa wanamhitaji huyu dogo #17 tanga yuko Lille.
kipindi hicho walikuwa hawajampata Neymar!!!!
Au umesahau kuwa Neymar yupo Barca Sahiv!!!
Afu hizo ni rumours tu, coz liverpool haikuwahi kuwa na interest zozote na Hazard tangu yupo Lille!!
time will tell.
EDEN HAZARD is far Better than Neymar.
We OSOKONOI wewe linganisha hivyo hivyo Lkn tukitia timu hapo tathimini yako itabaki hapa hapa jf!
Khe Khe Khe Khe
MKUU hatimaye tarehe 27 hiyoooo ishawadia kama kawaida siku zote mwenye kisu kikari ndio mla nyama
We OSOKONOI wewe linganisha hivyo hivyo Lkn tukitia timu hapo tathimini yako itabaki hapa hapa jf!
Khe Khe Khe Khe
What will happen at Anfield "Which will definitely will be in favor of Majogoo wa London". won't change anything na mlinganyo wangu will always remain at jf.
Leo ndio Leo!
Kaa utilie uone mziki Wa chelsea!
wewe tunakufahamu ni mshindi mzuri sana wa mdomoni lakini baada ya mechi ni majanga.
kesho mtoto hatumwi dukani bana,Khe Khe Khe wazee Wa specialist in failure mupo.?
Khe Khe Khe
Subiri uone kesho muziki!
Atakayemzidi mwenzake ndiye atakayenyakua pointi 3 muhimu
kesho mtoto hatumwi dukani bana,
kumbe nyie mnakuja kutuonyesha mziki??
ngoja tuusubilie huo mziki kesho yawezekana mwajua sana kukata mauno.
kwahiyo mkuu Ntuzu mpira sasa NO nimwendo wa mauno tuuu??
Khe Khe Khe wazee Wa specialist in failure mupo.?
Khe Khe Khe
Subiri uone kesho muziki!