Kabla ya game, wapinzani waliutembelea huu Uzi wa Chelsea sana tu, sasa Naona wote wameingia kibindoni kama nilivyosema mwanzo........
Sasa wametuachia uzi wetu, unafiki uliwaleta huko walipo hawana hamu kabisa
 



Ata darajani ilikua hivi

Raheem, Cotinho, Suarez Yani wote wale bado sn!
 
Hongereni Mafioso Chelsick kwa kuwabangua Loser Fools lakini mwaka huu mnatoka patupu. Naona mlikuwa na nyege ya kuwaongezea miaka ya kuchubiri ... ..... .... ... 23 years and still counting.

BTW pamoja na kuzoa point 6 kutoka kwa
Mancs na sita nyingine kutoka kwa Loser Fools bado hamtachukua kikombe. You're anti football ... ..... ..... Thats the bottom line.


 
Liverpool wana kazi ya ziada kwa kweli maana hata iweje hawachukui kombe na wasipoangalia watakuwa nafasi ya tatu
 

Also, don't forget you were RIP at Anfield.

Bora kuwa anti-football badala ya kuwa pro-football na kutundukwa mara 7, mara sijui 5 mara sijui 6.

 
Again Jose anathibitisha ni master wa big match,walichofanya ni kumkaba Sterling na Suarez ambao ndio wamekuwa wanaibeba Liverpool hivi karibuni,alivyoingia Willian nikajua atafunga au atatengeneza goli.Morinyo amemuonyesha mwanafunzi wake(Rodgers) bado hajaiva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…