qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,386
what a draw without Hazard Etoo, cech and terry for the last twenty minutes....mourinho genius of the game tactics ,for the records three goalkepeers of one team were on the pitch
Huyo mdau tungefungwa hela Yake angeona imeenda Vzr! Lkn kwakua Chelsea kasimama yeye anapiga kelele hula zake!
Mbona mapema?
Mbona mapema sana mkuu,
the blues wamekunyima raha ?
Niliaga nikijua ATM hawatapata kitu kwa style ya Mou.
Km tungefungwa Chelsea mpk sasaiv asingeenda kulala
Km tungefungwa Chelsea mpk sasaiv asingeenda kulala
Chelsea wamepaki bus dakika zote 90 za mchezo!
Mou ndo hulalamika bt tonight yeye ndo mlalamikiwa!!
Huku PL, tuachie sisi Ntuzu, we una chako kipi huku???
Usiku mwema Aisee!!!!
Boring match...Hongereni wapaki Bus
Wakuu usiku mwema tukutane kesho tena
ATM darajani hawachomoki
ATM darajani hawachomoki
walichomoka sunderland itakuwa atm?
walichomoka sunderland itakuwa atm?
Umesahau kuandika na PSG walichomoka pia..oh oh na Man City na Arsenal na Man UTD...#kalagabahooooooo :baby:
Hivi una akili kweli? tangu lini uliona pongezi za kulazimishana? acha kuzingua,kama mnacheza mpira mbovu msiambiwe? kazi gani nzuri mliyoifanya mpaka msifiwe? kupaki bus?mbona wewe ulishindwa kuchomoka ukachapwa 2-1?
wakati mwingine muwe mnapongeza tukifanya kazi nzuri..punguzeni wivu mnakera sasa.
😕