Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huu mtindo wa kupark semi siyo mzuri kabisaaa! Maureen anatunyima raha ya Mpira bwana!
 
Atletico hawana makali ya kutosha leo...ngoja warudi mapumziko kwanza
 
Haya majamaa yakipata kagoli ndo yataparl garimoshi kabisa! HT 0-0
 
Half time
atm 0 - 0 chls karibu wachambuzi

Wanacheza kwa kuviziana na tahadhari kubwa...mashambulizi ni makubwa dhidi ya Chelsick kwakuwa wao wapo sana nyuma, zaidi ya wachezaji 6 wanakaba nyuma. Kwa ufupi Chelsick wanachezewa nyuma, hii itawacost sana.
 
Chelshit asinuse Fainali..

yani wakifika huku mtaani hatupumui, ni makelele mtindo mmoja, so far so good kwa Ntuzu kuweza kuegesha behewa la mwakiembe barabarani ila vijamaa vya atm vitapenya tu hata iwe kwa bodaboda haijalishi
 
Last edited by a moderator:
Chelshit wanafanya mpira unakuwa Mgumu saana..

Aina gani ya mpira hio, Mpira hauna hata raha kabisa!!!

Ladha ya mpira imepotea kabisa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom