Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata kama Chelsick wamepaki bus ila jamaa wanachana hivyohivyo....hatareeee
 
dk ya 31 bado hatujaona taste yoyote ya uefa semi final m namwangalia koke 0-0
 
Ngoja tupaki treni kipindi cha kwanza na tukiingia cha pili tutataka kushambulia ili kupata moja la ugenini.
 
hii game ikiisha hivihivi, itaniuma sana..

Michelshit inapaki bus mpaka kero!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom