Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
RED: Hapo kwenye red ndo tunapokuona wewe ni #Mbulumundu , I'm sorry...Ujue kwanini nasema hivyo, kwakuwa baada ya game inapokuwa matokeo tofauti na unavyotaka wewe basi visingizio vinakuwa vingi, mara Ooh watakuja nyumbani, mara refa....na longo nyingine. Yaani hapo (red) unajisahaulisha kwamba mpira ni 90 mins na ofcoz 3 outcomes are expected. Tunakushangaa sana, Huo ulazima wa nyie kushinda upo wapi?
Msiwapimie watoto wa Simeone wale, anything can happen on the pitch bro..."You are little blind bro..."
Khe Khe Khe Khe Khe
Timu yetu imejengwa kwa Ushindi na si kupoteza!
Khe Khe Khe Khe
Sizinga tuko na sababu zote za Kusema hivyo coz we are the team with special spirit!
Last edited by a moderator: