Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

10259847_1021175797922636_3706067420141378460_n.jpg
 
Nenda kampe pole RRONDO yaani MAN UTD wasipotulia watakuwa 'average' waje tuwape somo jinsi ya kubadili makocha; na kupata mafanikio.

ha ha haha...

Huyo Van Gaal wanayemtaka hata haogopeshi aisee!!!
 
DIEGO COSTA peke yake, atafanya usiku wa leo uwe mtulivuuuuuuu..

Teh Teh Teh Teh Teh Teh!!!

Natangaza kabisa ntakuwa upande wa ATM leo!!!!

Teh Teh Teh Teh Teh!!!!!!

Umechagua upande mzuri Mkuu!

Lkn Sisi ni timu ktk timu 19 za EPL!

Khe Khe Khe Khe
 
Vaan Gaal ni bonge la kocha; si unajua rekodi yake mkuu?
MAN UTD wamezoea makocha 'wazee'. VAN GAAL is 10X better than Moyes.:smile-big:

Klopp na Simeone ndo wangenitisha sana!!!, coz ni vijana na wana uchu wa Mafanikio..

Van Gaal ni bora zaid ya Moyes, lakin Trust me yatakuwa ni yale yale Tu!!!!
 
Sasa wewe unatakaje?
Kapteni wako SG alitaka Moyes abaki ili 'wapinzani' wenu waendelee kudhoofika.
Mbona unapingana na maneno ya kapteni?

Nataka wachukue makocha wa pale pale UK..

Au huyo Giggs wampe kazi ya Moja kwa Moja Tu..

nataka wabugi kama walvyibugi liverpool kwa Hodgson na Daglish..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom