MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Sasa huo ni ushabiki 'mawe' au?
Bora nyashabikie mawe kuliko chelshit..
Sasa huo ni ushabiki 'mawe' au?
Sasa wewe unatakaje?
Kapteni wako SG alitaka Moyes abaki ili 'wapinzani' wenu waendelee kudhoofika.
Mbona unapingana na maneno ya kapteni?
Nataka wachukue makocha wa pale pale UK..
Au huyo Giggs wampe kazi ya Moja kwa Moja Tu..
nataka wabugi kama walvyibugi liverpool kwa Hodgson na Daglish..
kwani we ulikuwa unataka Moyes afukuzwe bob???
Khe Khe Khe Khe
Kumbe unafahamu maigereza wakati mwingine ni majinga Na mabaguzi???? Khe Khe Khe
Kweli walibugi kwa Roy na King Kenny kuwapa Loserfool! Na ata ktk Hili la Man Utd watabugi tu! Kwasababu moja ya sababu ya kuumpa timu DM ni hake kaasili Ka UINGEREZA.
Khe Khe Khe Khe
Ndio maana MIKE DEAN juzi katuua kwasababu ya hako kauigereza! Ili timu Yao pendwa Loserfool ichukue kombe! Na ili Jose Mourinho asiwe NGURI ktk ligi ya EPL Yani kufika tu achukue kombe! Yani ni aibu sn kwa timu zingine km Jose akichukua kombe!

MANENO YA THE SPECIAL ONE JOSE MOURINHO :
If they dont touch me, I wont touch anyone. If they touch me, Ill be ready to hit back even harder
Naomba na nitafurahi sn Mzee Van Gaal aiongoze Utd! Ili ligi iwe pouwa!
Maana, Kutakua na Pelegrini, Wenger, Jose, Van Gaal na Brendan Rodgers!
Patamu sn hapo!
RED: Hapo kwenye red ndo tunapokuona wewe ni #Mbulumundu , I'm sorry...Ujue kwanini nasema hivyo, kwakuwa baada ya game inapokuwa matokeo tofauti na unavyotaka wewe basi visingizio vinakuwa vingi, mara Ooh watakuja nyumbani, mara refa....na longo nyingine. Yaani hapo (red) unajisahaulisha kwamba mpira ni 90 mins na ofcoz 3 outcomes are expected. Tunakushangaa sana, Huo ulazima wa nyie kushinda upo wapi?Mkuu Pamoja sn! Leo ATM lazima wakae!
Nafurahi sn kuona safari yetu ya kwenda URENO inaanza Leo!
Tutabaki kuwasubiri km ni R Madrid au Munich!
Uzuri ni kwamba Jose anafahamu Kua Yuko kwenye vita na watu wengi! Media, waamuzi, FA. Na si yeye tu! Waingereza hawapendi sn kumuona ABROMONEY na timu yake wanatawala EPL!
Nyie mnasajili vikongwe/Mababu kwa pesa ndefu unategemea soka la vijana utaliweza kutawala EPL? Sahau bro!! Akina Sterling si unawaona wanavyoongoza jahazi vizuri....Nasikitika sana tulikuwa na majeruhi wengi akina Ramsey, ndo tukapotea!! Ila tunajipanga next season, ngoja tuchukue FA kwanza tuwakate kilimi. agosti 8