Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

asante mkuu Ab-Titchaz; mimi mchango wangu kwenye jukwaa hili unajulikana sana; tuliwaonya wapinzani kwamba IT'S NOT OVER...sisi ndo timu ya PRESENT TENSE.

nimefurahi sana siwezi kuongea ..

cc; Mentor, Ntuzu, Kalou, na wengine..:smile:

Pamoja kwa sana kamanda!
 
asante mkuu Ab-Titchaz; mimi mchango wangu kwenye jukwaa hili unajulikana sana; tuliwaonya wapinzani kwamba IT'S NOT OVER...sisi ndo timu ya PRESENT TENSE.

nimefurahi sana siwezi kuongea ..

cc; Mentor, Ntuzu, Kalou, na wengine..:smile:

Mkuu Mimi Leo siongei sn coz baada ya ratiba kupangwa ya robo final nilisema Chelsea hao NUSU final na Bado kila Siku Nimekua nasema! Lkn Leo ni vema niwe kimya na kuangalia tu!

Nawashukuru wote mashabiki Wa Chelsea na wale walioleta changamoto!
 
yaani hii game ilivyokwisha nilikuwa nawaza kauli watakazotoa Ntuzu @agosti8 na special one!!!!!

Kwa kawaida yng Mimi hua naongea kabla ya game na kutoa ufafanuzi wng Zaidi! Lkn baada ya game km hivi niongee nini tena na wakati vitendo vinajieleza? Kile tumekua tunasema ndio kimetokea!

Km tungekua tumefungwa ndio ningeweza kutoa maelezo kwamba Kwanini tumepoteza!? Lkn niko hapa kwaajili ya kuwashukuru wote!

Pamoja sn Mkuu!
 
Last edited by a moderator:

chelsea fc = present tense

haya mkuu naomba tukutane tena fainali.
 
article-2600150-1CF213C800000578-538_634x463.jpg

...CONGRATULATIONS TO THE ENGLISH WHO DIDN'T WANT TO LEAVE EUROPE...
 
JOSE MOURINHO NI MTAALAMU;
David Luiz si beki mzuri; lakini kocha aligundua kwamba jamaa anafaa sana kucheza kiungo mkabaji aina ya "DESTROYER" niliwahi kujadili hapa jukwaani kama utakumbuka kuhusu aina mbalimbali za viungo..

CHELSEA FC = the present tense:

mechi ijayo: Ramires anarudi kati; Lampard atapumzika. kulia atacheza DAVE na kushoto Ashley Cole..maana Ivanovic hatacheza..alipata kadi ya njano jana.

:A S cry: nimefurahi sana jana..sina la kusema.
...THE MONSTER...

article-2600109-1CF1C83400000578-193_634x601.jpg

article-0-1CF17E1300000578-856_634x391.jpg

Patrolled the midfield alone during the second half.

article-2600135-1CF1D2EA00000578-783_634x324.jpg

All over the field..he was!

article-2600135-1CF171DF00000578-579_634x426.jpg

article-2599868-1CF111F500000578-913_634x378.jpg

Assisted the first goal...
 
Eeeh basi chelsea mtajidaiiii...hongereni bana nyie wajivuni leo.
aione invisible et al.
 
Eeeh basi chelsea mtajidaiiii...hongereni bana nyie wajivuni leo.
aione invisible et al.

tumewanyamazishaa😱hwell:

CHELSEA FC "THE CHAMPIONS"
 
Hongereni sana wazee wa kupaki fuso,Jose is the master of big games

umekariri Belo;

tulishambulia sana jana; ndo maana tulipata goli 2.

angalau shots on targeti zilikuwa ngapi jana?

tulistahili kushinda mwana..nipe hongera zangu..leo kazi unayo jitupe nawe upate raha maishani..

starehe gharama kijana..huwezi kuwa bingwa ki mchezo mchezo tu.:smiling:
 
maneno ya jose mourinho:

"A big opponent is waiting for us in the semi-final but it doesn't matter who. They know we are a team with a special spirit"
 
Team Chelsea fc hatareeeeee Ya Napoli niliyopredct yametimia
Weraaaaa Blue is the colour,Futbol is the game
We are together,and Winning is our aim,
so Cheers all thru the sun and rain coz Chelsea Chelsea is our namee
 
Attachments

  • 1397033872389.jpg
    1397033872389.jpg
    32.7 KB · Views: 57
  • 1397033890157.jpg
    1397033890157.jpg
    59.4 KB · Views: 49
  • 1397033903676.jpg
    1397033903676.jpg
    46.2 KB · Views: 46

Similar Discussions

Back
Top Bottom