kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,879
Kalou sidhani kama Real Madrid wanamtaka Atletico hata kidogo
Game ya 02/03/2014 walipokutana na hawa jamaa ilikua moto.
Nadhani ni kati ya game ambazo R.Madrid zimewapa ugumu sana msimu huu. Walitoka 2-2 lakini C.ronaldo ndiyo alisawazisha dakika 8 kabla ya mpira kuisha
Atletico wako vizuri sana...yaani bora hata kukutana na Real Madrid semi final kuliko hawa viumbe..