Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mpira wa maandishi hapa ndo mahala pake; unataka nifanyeje?

Unataka niseme tutafungwa?
Unataka niseme PSG nzuri kuliko CHELSEA?

ni sawa na kusema baba wa jirani ni mzuri kuliko baba yako? Believe in what you believe.

PSG ni nzuri kuliko Chelsea hadi muda huu kwa mchezo wa kwanza wa robo fainali hii na sababu ni moja PSG wanamagoli 3 na Chelsea wa goli 1.

Utakapoisha mchezo wa pili wa robo fainali ndipo tutakapojua ni timu gani nzuri na sababu ni moja ambayo ni TIMU NZURI ITAFANIKIWA KWENDA NUSU FAINALI
 
Unaogopa hata kutaja timu itakayokua inapewa hizo hongera.

Sasa ndiyo nimetambua jinsi gani hali inavyozidi kuwa nguvu kwenu

HONGERA PSG KWA USHINDI WA GOLI 3 KWA 1 DHIDI YA CHELSEA KATIKA MCHEZO WA KWANZA
 
We have done it...we'll do it

chelsea 4 - 2 barcelona 2005.(london)
chelsea 2- 2 barcelona 2012(barcelona)
chelsea 3 - 1 napoli 2012.

we will overcome all odds: yes we can.
 
hunitishi kwa sababu huna timu inayocheza UCL;
Unaogopa hata kutaja timu itakayokua inapewa hizo hongera.

Sasa ndiyo nimetambua jinsi gani hali inavyozidi kuwa nguvu kwenu

HONGERA PSG KWA USHINDI WA GOLI 3 KWA 1 DHIDI YA CHELSEA KATIKA MCHEZO WA KWANZA
 
utaumia sana kuona PSG akitolewa; ..:hat:
PSG ni nzuri kuliko Chelsea hadi muda huu kwa mchezo wa kwanza wa robo fainali hii na sababu ni moja PSG wanamagoli 3 na Chelsea wa goli 1.

Utakapoisha mchezo wa pili wa robo fainali ndipo tutakapojua ni timu gani nzuri na sababu ni moja ambayo ni TIMU NZURI ITAFANIKIWA KWENDA NUSU FAINALI
 
hunitishi kwa sababu huna timu inayocheza UCL;

Umetumia kanuni ipi kujua kama sina timu inayocheza Ligi ya Mabingwa wa Ulaya?

Sidhani kama unahitaji kuwa na timu UCL ili uweze kuchangia katika jukwaa hili

Lete hoja za maana kama uko fiti katika sekta ya soka
 
PSG ni nzuri kuliko Chelsea hadi muda huu kwa mchezo wa kwanza wa robo fainali hii na sababu ni moja PSG wanamagoli 3 na Chelsea wa goli 1.

Utakapoisha mchezo wa pili wa robo fainali ndipo tutakapojua ni timu gani nzuri na sababu ni moja ambayo ni TIMU NZURI ITAFANIKIWA KWENDA NUSU FAINALI

Aione Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
THOSE WHO DON'T BELIEVE SHOULD STAY HOME AND WATCH R. MADRID VS B. DORTMUND

PSG PLAYERS DURING PRACTICE AT THE S. BRIDGE STADIUM

article-2599032-1CE8F30400000578-85_634x415.jpg

THE STADIUM: WHERE IMPOSSIBLES ARE MADE POSSIBLE

article-2599546-1CDC31ED00000578-871_634x371.jpg

STRIKERS IN DISCUSSION

article-0-1CE73B4400000578-987_634x396.jpg

THROUGH THEIR PACES

article-2598753-1CE74AB500000578-922_634x315.jpg

GUESS WHO...

article-2598753-1CE74D1700000578-962_306x423.jpg

YEP...

article-2598753-1CE74C7300000578-864_306x423.jpg

ALL AT EASE...

article-2598753-1CE7372300000578-995_634x404.jpg

AZP...CESAR..THE KING!!!!
article-2598753-1CE74B2000000578-980_634x351.jpg

MORE...
article-2598753-1CE754DE00000578-755_634x286.jpg

Namtafuta mtu mmoja anaitwa Ntuzu...yupo?

Mkuu Mimi nipo sn! Ila nilikua Ktk thread moja kule tukijifunza habari njema!

Leo nipo na nitakuwepo mpk saa 7 za usiku! Kz ni kwako!
 
Last edited by a moderator:
utaumia sana kuona PSG akitolewa; ..:hat:

Mimi sitaumia kwa sababu najua lolote laweza kutoke katika mchezo huu.

Sasa niko tayari kupokea matokeo yoyote yale na kuyakubali.

Mchezo hautakua mwepesi huu. Sasa tuache mind game zisizo na manufaa yoyote
 
Umetumia kanuni ipi kujua kama sina timu inayocheza Ligi ya Mabingwa wa Ulaya?

Sidhani kama unahitaji kuwa na timu UCL ili uweze kuchangia katika jukwaa hili

Lete hoja za maana kama uko fiti katika sekta ya soka

maneno yako kwenye rangi nyekundu yanathibitisha huna timu; taja timu yako ili tupambane hoja kwa hoja.
maneno yako yanathibitisha huna timu kwenye UCL;
ungekuwa na timu ungetulia kusubiri timu yako ifuzu;
huna timu kazi yako kubwabwaja tu.
 
Mimi sitaumia kwa sababu najua lolote laweza kutoke katika mchezo huu.

Sasa niko tayari kupokea matokeo yoyote yale na kuyakubali.

Mchezo hautakua mwepesi huu. Sasa tuache mind game zisizo na manufaa yoyote

wewe ni PSG au CHELSEA FC?
 
asante mkuu MENTOR kwa kazi nzuri; jukwaa letu sasa linazidi kusonga mbele...wapinzani wamehamia humu ndani kwa sababu kwao hakunogi?

THOSE WHO DON'T BELIEVE SHOULD STAY HOME AND WATCH R. MADRID VS B. DORTMUND

PSG PLAYERS DURING PRACTICE AT THE S. BRIDGE STADIUM

article-2599032-1CE8F30400000578-85_634x415.jpg

THE STADIUM: WHERE IMPOSSIBLES ARE MADE POSSIBLE

article-2599546-1CDC31ED00000578-871_634x371.jpg

STRIKERS IN DISCUSSION

article-0-1CE73B4400000578-987_634x396.jpg

THROUGH THEIR PACES

article-2598753-1CE74AB500000578-922_634x315.jpg

GUESS WHO...

article-2598753-1CE74D1700000578-962_306x423.jpg

YEP...

article-2598753-1CE74C7300000578-864_306x423.jpg

ALL AT EASE...

article-2598753-1CE7372300000578-995_634x404.jpg

AZP...CESAR..THE KING!!!!
article-2598753-1CE74B2000000578-980_634x351.jpg

MORE...
article-2598753-1CE754DE00000578-755_634x286.jpg

Kesho tutaangalia hapa kama mtakuwepo, si mnacheza na Roma (mambo yao kwenye Seria A sio mazuri?) Once upon a time they were nailed 7 by Man U.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom