kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,821
- 20,821
Mpigwe tu mpaka mshuke daraja ikiwezekana
Dirisha june halafu bado kocha ni huyu huyu Rosemary!! Amini nakwambia kwa hawa hawa wachezaji umpe kocha mwenye utimamu anachukua mpk World cup.Tukumbuke Enzo na Cucu ndio wachezaj wakwanza kuingia kwenye hii Project nimiaka 4 sasa Project walioambiwa wanaona kabida haipo na Furaha ya mchezaj ni kushinda Makombe na umri wao unasogea. Dirisha la usajil June litatoa picha kamil dhid ya hii team
Vipi na yule mchezaji wako nae nimalupulupu pia?? Hivi ni Hato au Gittens?wachezaji wa maana ni wawili tuu Caicedo na Jao Pedro. Waliobaki ni kuongeza, malapulapu.
Hato, Estevao, hata Josh ni wachezaji wazuri, umei tu ndio unawafanya wawe na errorsVipi na yule mchezaji wako nae nimalupulupu pia?? Hivi ni Hato au Gittens?
Hadi Sarr abaki sio, basi mmechanganyikiwa ! Next season mkiendelea na hawa SDs mtashuka darajaPLAYERS TO KEEP
Goalkeepers
🟩 Robert Sánchez
🟩 Mike Penders (new incoming)
Defenders
🟩 Mamadou Sarr
🟩 Jorrel Hato
🟩 Malo Gusto
🟩 Josh Acheampong
🟩 Levi Colwill
🟩 Reece James
Midfielders
🟩 Romeo Lavia
🟩 Andrey Santos
🟩 Moisés Caicedo
🟩 Dário Essugo
🟩 Valentine Barco (new incoming)
Attackers
🟩 Cole Palmer
🟩 Estevão
🟩 João Pedro
🟩 Dastan Satpaev (new incoming)
🟩 Giovani Quend (new incoming)
🟩 Emmanuiel Emegha (new incoming)
PLAYERS TO SELL
Goalkeepers
🟥 Filip Jørgensen
Defenders
🟥 Trevoh Chalobah
🟥 Benoît Badiashile
🟥 Tosin Adarabioyo
🟥 Wesley Fofana
🟥 Marc Cucurella (due to recent interview controversial comments about leaving Chelsea)
Midfielders
🟥 Enzo Fernández (due to recent interview, controversial comments about leaving Chelsea)
Attackers
🟥 Alejandro Garnacho
🟥 Jamie Bynoe‑Gittens
🟥 Pedro Neto
🟥 Liam Delap
🟥 Marc Guiu
View attachment 3567294
Interview ya cucurella na Enzo sio mbaya Kama ambavyo waandishi wanavyoikuza sema wanataka mabadiliko yafanyike ndani ya club ila sio kwamba wanahitaji kuondokaPLAYERS TO KEEP
Goalkeepers
🟩 Robert Sánchez
🟩 Mike Penders (new incoming)
Defenders
🟩 Mamadou Sarr
🟩 Jorrel Hato
🟩 Malo Gusto
🟩 Josh Acheampong
🟩 Levi Colwill
🟩 Reece James
Midfielders
🟩 Romeo Lavia
🟩 Andrey Santos
🟩 Moisés Caicedo
🟩 Dário Essugo
🟩 Valentine Barco (new incoming)
Attackers
🟩 Cole Palmer
🟩 Estevão
🟩 João Pedro
🟩 Dastan Satpaev (new incoming)
🟩 Giovani Quend (new incoming)
🟩 Emmanuiel Emegha (new incoming)
PLAYERS TO SELL
Goalkeepers
🟥 Filip Jørgensen
Defenders
🟥 Trevoh Chalobah
🟥 Benoît Badiashile
🟥 Tosin Adarabioyo
🟥 Wesley Fofana
🟥 Marc Cucurella (due to recent interview controversial comments about leaving Chelsea)
Midfielders
🟥 Enzo Fernández (due to recent interview, controversial comments about leaving Chelsea)
Attackers
🟥 Alejandro Garnacho
🟥 Jamie Bynoe‑Gittens
🟥 Pedro Neto
🟥 Liam Delap
🟥 Marc Guiu
View attachment 3567294
Chelsea ina pressure kubwa sana kama team isipochukua makombe na ukizingatia mtangulizi wake kuchukua makombe mawili ndio kabisa lazima aandamwe pressure pale inaanzia kwa mashabiki, malendendary na media lazima uchanganyikiwe ndio kinachomkuta huyu kocha na hivi alivyokuwa Hana experience ndio kabisaKocha anakuambia "Tupo nafasi ya nne" lakini kwenye msimamo wapi nafasi ya sita.
Kocha kachanganyikiwa kama Lembu
Mamadou Sarr ni beki mzuri sana, kwa maoni yangu ni Colwill tu ndie anamfikmia kwa mabeki tulionao Chelsea. Bahati mbaya kaja kipindi Chelsea imekumbwa na outbreak ya uharo 🤣Hadi Sarr abaki sio, basi mmechanganyikiwa ! Next season mkiendelea na hawa SDs mtashuka daraja
Hakuna kitu Chelsea haijafanya ili Arsenal wapate makombe. Tumewalea mpaka tukachoka — lakini bado wanarudi nyumbani mikono mitupu kama watoto wa mtaani huku wakiturudishia matusi juu badala ya shukurani 📚
▪️ Chelsea ilishinda Champions League na Petr Čech… Arsenal wakamchukua wakidhani atawaletea UCL kama delivery ya Pizza 📦
▪️ Chelsea ilishinda Europa League na Willian… Arsenal wakamchukua, akawasha moto wa backpasses tu 🔥
▪️ Chelsea ilishinda Premier League na David Luiz… Arsenal wakamchukua, akawapa mabao ya kujifunga kama binti mkaidi anayezalishwa kila mwaka 🤣
▪️ Chelsea ilishinda Champions League na Jorginho… Arsenal wakamchukua, wakafikiri “mfumo umeiva” kumbe ni penalty hop tu 🦗
▪️ Chelsea ilishinda Super Cup na Kepa… Arsenal wakamchukua, sasa wanamuita “backup ya backup” mbona kacheza hadi robo fainal ya FA akaizamisha boti nzima?🧤
▪️ Chelsea ilishinda Club World Cup na Noni Madueke… Arsenal wakamchukua, lakini bado hawajui wamweke wapi 📍
▪️ Chelsea ilishinda Intercontinental Cup na Kai Havertz… Arsenal wakamchukua, wakamgeuza kuwa target man wa maombi 🙏
Kwa kweli tumefanya kila kitu kwa ajili ya jirani yetu, lakini Arsenal bado ni timu ya kuumiza kichwa — kama WiFi ya bure ya stendi ya mabasi 🤦♂️💀😂