Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,035
- 27,396
Wengi wa wanaoichukulia poa Chelsea ni walioanza kushabikia miaka ya 2015. Hawajaiona Chelsea ya asali na maziwaConfidence, wanapokuwa kwenye timu ndogo wanakuwa na confidence kubwa kwa sababu ni timu ndogo, matarajio madogo, presure ndogo
Wanapokuja kwenye litimu lenye matarajio makubwa kama Chelsea panic inawatawala ahat wanapolala usiku, hawalali vizuri. Sisi mashabiki tu ndio tunaidharau Chelsea ila Chelsea ni lijitu likuwa ambalo hawa vijana wadogo wakifika pale kwanza hawaamini kama wamesajiliwa Chelsea