Bila penati huyu chali ni hewaFirst Half Cole Palmer Hatrick
Chelsea 3-0 Wolves
Cole Palmer amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya Premier League kufunga hat-trick tatu kabla ya kipindi cha mapumziko.Bila penati huyu chali ni hewa
Mi huwa najiuliza hawa madogo wanashindwa kumuangalia tu hata Jamie Vardy alivyokua katili mbele ya goli. Delap sijategemea angekua hivi alivyo saivi ukilinganisha na alivyokua msimu uliopita Ipswich.
Yaani pale angekuwepo Diego Moreira angekuwa bora sana kuliko Delap, sioni huyu dogo akija kuwa striker mzuri. Amekaa kichampionship ship vile
Kuna mtu mmoja kasema huwa kuna wachezaji wa timu kubwa na wale wa timu ndogo. Ukikosea yule wa timu ndogo ukamleta kwenye timu kubwa hawezi kuc heza vizuri kabisa kwa sababu ya presure.Mi huwa najiuliza hawa madogo wanashindwa kumuangalia tu hata Jamie Vardy alivyokua katili mbele ya goli. Delap sijategemea angekua hivi alivyo saivi ukilinganisha na alivyokua msimu uliopita Ipswich.
Mwezi wa tatu na wa nne utakuwa mgumu kwa Chelsea na ndio miezi ya kubaki au kuondolewa kwenye top 4Kuna huo mwezi wa3, bora tufungwe na wote. Ila sio hao viwete. Huyo kocha mvaa miwani aambiwe kbs.
View attachment 3541259
Viwete, wakati una miaka zaidi 10 hujamfunga, na msimu huu ushakutana nae tayari mara 3 na mara 2 umepasukaKuna huo mwezi wa3, bora tufungwe na wote. Ila sio hao viwete. Huyo kocha mvaa miwani aambiwe kbs.
View attachment 3541259
Miaka kumi?.Viwete, wakati una miaka zaidi 10 hujamfunga, na msimu huu ushakutana nae tayari mara 3 na mara 2 umepasuka
Hakuna sehemu nimesema ivyo. Nimelinganisha wa msimu uliopita na huyu wa sasa. Tunategemea wanapopata changamoto mpya ndio wapambanie kuongeza viwango zaidi.Delap hajawahi kuwa mzuri.
Au labda ni sisi tu ndio tunawapa pressure. Usikute wao wanaaminishwa tofauti na hiki tunachotaka wao wafanye. Kwasababu haiwezekani unapata nafasi na bado unaendelea kurukaruka tu.Kuna mtu mmoja kasema huwa kuna wachezaji wa timu kubwa na wale wa timu ndogo. Ukikosea yule wa timu ndogo ukamleta kwenye timu kubwa hawezi kuc heza vizuri kabisa kwa sababu ya presure.
Msemo wa wahenga
"Jogoo wa shamba hawezi wika mjini"
Delap, Gittens, Garnacho. Hato ni wachezaji wazuri ila wamewahishwa mjini. Walitakiwa wabaki shamba kwanza wajifun ze kulima kitunguu na dengu wakishakomaa ndio waje mjini. Sasa presure ya maisha ya mjini inawapoteza kabisa. Msimu ujao wote utasikia wanakwenda mkopo
Confidence, wanapokuwa kwenye timu ndogo wanakuwa na confidence kubwa kwa sababu ni timu ndogo, matarajio madogo, presure ndogoAu labda ni sisi tu ndio tunawapa pressure. Usikute wao wanaaminishwa tofauti na hiki tunachotaka wao wafanye. Kwasababu haiwezekani unapata nafasi na bado unaendelea kurukaruka tu.
Pia kawa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya Chelsea kufunga hatrick nneCole Palmer amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya Premier League kufunga hat-trick tatu kabla ya kipindi cha mapumziko.
View attachment 3540738
Sheria za EPL ni za kijinga kweli
Dominik Szoboszlai kamvuta shati Erling Haaland ili asiwahi mpira naye Haaland akamvuta shati Szoboszlai asiwahi kwenda kuuokoa mpira wa Cherki uliokuwa uinaelekea wavuni taratibu.
Hata hivyo mpira uliendlea kwenda na kuingia wavuni.
Sasa shida yangu inakuja pale Dominik Szoboszlai alipopewa red card akiambiwa kuwa amemzuia Haaland asiende kufunga goli wakati goli lilishaingia na sio Haalnd kafunga
Kosa la pili, goli halali la Cherki likafutwa na kuwa free kick
Hapo sheria iboreshwe kwa kweli