Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Oya dingi lina lia.
FB_IMG_17701962058528837.jpg
 
Delap ni forward ama mcheza mieleka ? Rugby ? Mnachekesha .... ! Kale kachaliii Garnacho mmevishwa bonge la pichu mchana kweupe
 
Watu wanataka tuamini kwamba Carabao Cup ndiyo kipimo cha ukubwa? Kwa kweli, nani duniani anapigania Carabao?

Sisi ni Mabingwa wa Dunia — timu iliyowahi kushinda kila kitu kikubwa barani Ulaya na Duniani halafu leo tuanze kujishusha kupigania kikombe cha mbuzi na Arsenal? Haiingii akilini. Hii mechi ilikuwa tu kama kuwapa somo kwamba viwango vya Chelsea na Arsenal haviko daraja moja, hata kama matokeo ya jana yalikuwa ya mashindano madogo.

Kikubwa ni safari ya EPL na Ulaya, si Carabao. Hapo ndipo timu kubwa hujitambulisha.

Kama Arsenal watashinda Premier League msimu huu, watakuwa ni moja ya timu dhaifu zaidi kuwahi kutwaa taji hilo katika historia ya ligi.
-Paul Scholes 🤣 🤣 🤣 🤣
Kaangalie kipindi Cha 1998 mpk 2003 jinsi hawa vibwengo kina Paul Scholes walivyokuwa wanabeba ubingwa....walikuwa wanabebwa waziwazi kabisa....it was Fergie effect...kipindi kile kungekuwa na VAR hawa kuku wasingebeba makombe mengi.....he is the least qualified guy to talk about our team...kuku kabisa yule🤠🤠
 
Watu wanataka tuamini kwamba Carabao Cup ndiyo kipimo cha ukubwa? Kwa kweli, nani duniani anapigania Carabao?

Sisi ni Mabingwa wa Dunia — timu iliyowahi kushinda kila kitu kikubwa barani Ulaya na Duniani halafu leo tuanze kujishusha kupigania kikombe cha mbuzi na Arsenal? Haiingii akilini. Hii mechi ilikuwa tu kama kuwapa somo kwamba viwango vya Chelsea na Arsenal haviko daraja moja, hata kama matokeo ya jana yalikuwa ya mashindano madogo.

Kikubwa ni safari ya EPL na Ulaya, si Carabao. Hapo ndipo timu kubwa hujitambulisha.

View attachment 3538973
Mkuu jana bwana mdgo Fofana asingelia kama hilo kombe halina maana shehe🤠🤠....sisi hatujashangilia kwenda final ila tumeshangalia kuwafumua Tena huku Kai Mikazo akiwatungua Tena.....tunawakumbusha Tena Bado kwny ligi mnarudi Tena pale....hatujamalizana bdo
 
Huyo katuabisha bure, tunamsamehe kwa sababu kawa mgonjwa muda mrefu labda akili yake haiko sawa
 
Leo hakuna kisingizio cha wachezaji.

Leo kisingizio ni mfumo.

Wazenge wengine huwaoni kwenye huu uzi wa hawa watu lakini niamini mimi hawa wangepata suluhu wangejisifu ujinga na wenzao wangekuja kuwasifu.

Wazenge kabisa
Wewe ni shabiki wa mpira sawasawa na hao unaowasema. Mtu wa mpira anaweza kutofautisha hayo na kuyaacha yaende ndio maana sometimes huwa napuuzia comments zako.
 
Wewe ni shabiki wa mpira sawasawa na hao unaowasema. Mtu wa mpira anaweza kutofautisha hayo na kuyaacha yaende ndio maana sometimes huwa napuuzia comments zako.
Actually wewe member ni miongoni mwa ninaowaheshimu ingawa sikujui.

Haijawahi tokea tumefungwa nikapoint kwamba kumkosa mchezaji A au B ni sababu.

Ukipuuzia comments ni fair kwakua hatuwezi kufanana mtazamo. Kuna kitu utakiona mimi sioni kuna kitu nitaona wewe hautaona.

Kila la heri kwenye FA na top four.
 
Cucurella bado ni baraka kwa Arsenal, niliwahi sema ana games chache alizocheza dhidi ya Arsenal na akaproduce rating ya juu, jana katoka na rating ya juu pia.

Isipokua yeye ndiye alipoteza mpira uliopelekea goli. Magoli yetu bado uchochoro ni Cucurella
 
Naona marehemu ume fufuka, shida nakupiga urudi kulala.
Mnashangilia kuingia final wakati wenzenu huwa tunashangilia kuchukua makombe ya world wide & Europe. Poleni sana. BTW tukutane jukwaa letu pedwa unipe kigongo kingine cha kupotezea mawazo
 
Kaka Arsenal wapo vizuri. Ile timu imeundwa aseeh, jamaa wanajua kuzuia, kurudisha umiliki, kubadilika haraka kutoka kushambuliwa kuja kushambulia.

Kwahiyo unachosema ni kweli kabisa Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti
Wewe makalio yapo kichwani halafu makalioni ndio kuna kichwa, Bure kabisa.
 
Ni mtazamo tu

Mechi ya leo haikuwa mbaya, approach ya kocha kwenye mechi ilikuwa ina tija na namuelewa kwa ile lineup aliyoanza nayo kwa sababu margin ilikuwa ndogo sana tofauti ya goli moja ukicheza kidogo tu inabadilika na mlima unakuwa mkubwa zaidi kuupanda ndo maana naona kocha alilenga kuhakikisha matokeo yanabaki at least vile vile kwa hata kipindi cha kwanza chote then ndo aingize zile silaha zake yaani palmer na toto tundu

Sehemu ambayo nakubaliana na mzee wa takataka na moja kwa moja hii itamaanisha napingana kidogo na kocha ni kwa john cena delap, jamaa kiukweli kiwango bado na ule upande ulifaa sana mtu hatari toka mwanzo, japo kwa namna nyengine pengine kumuanzisha estevao ambaye hakuwepo na timu kwa siku kadhaa kutokana na changamoto za kifamilia labda kisaikolojia hakuwa fresh ndo maana hakuweza kuanza naye kule kwa delap ila bado binafsi naamini kule angeanza mtu mwengine huenda angeoffer kitu kizuri zaidi

All in all hatuko mbali sana na nchi ya ahadi, na kocha naamini sio mbaya japo binafsi naendelea kumuasses na so far so good, zile nafasi za enzo alizopaisha zile kama tatu hivi angekutana nazo caicedo zileee anyways blue is the color wanangu upchelsea👊
Yaani pale angekuwepo Diego Moreira angekuwa bora sana kuliko Delap, sioni huyu dogo akija kuwa striker mzuri. Amekaa kichampionship ship vile
 
Yaani pale angekuwepo Diego Moreira angekuwa bora sana kuliko Delap, sioni huyu dogo akija kuwa striker mzuri. Amekaa kichampionship ship vile
Mi huwa najiuliza hawa madogo wanashindwa kumuangalia tu hata Jamie Vardy alivyokua katili mbele ya goli. Delap sijategemea angekua hivi alivyo saivi ukilinganisha na alivyokua msimu uliopita Ipswich.
 
Ni mtazamo tu

Mechi ya leo haikuwa mbaya, approach ya kocha kwenye mechi ilikuwa ina tija na namuelewa kwa ile lineup aliyoanza nayo kwa sababu margin ilikuwa ndogo sana tofauti ya goli moja ukicheza kidogo tu inabadilika na mlima unakuwa mkubwa zaidi kuupanda ndo maana naona kocha alilenga kuhakikisha matokeo yanabaki at least vile vile kwa hata kipindi cha kwanza chote then ndo aingize zile silaha zake yaani palmer na toto tundu

Sehemu ambayo nakubaliana na mzee wa takataka na moja kwa moja hii itamaanisha napingana kidogo na kocha ni kwa john cena delap, jamaa kiukweli kiwango bado na ule upande ulifaa sana mtu hatari toka mwanzo, japo kwa namna nyengine pengine kumuanzisha estevao ambaye hakuwepo na timu kwa siku kadhaa kutokana na changamoto za kifamilia labda kisaikolojia hakuwa fresh ndo maana hakuweza kuanza naye kule kwa delap ila bado binafsi naamini kule angeanza mtu mwengine huenda angeoffer kitu kizuri zaidi

All in all hatuko mbali sana na nchi ya ahadi, na kocha naamini sio mbaya japo binafsi naendelea kumuasses na so far so good, zile nafasi za enzo alizopaisha zile kama tatu hivi angekutana nazo caicedo zileee anyways blue is the color wanangu upchelsea👊
Hizo chances za Enzo, ukumbuke pia na wasted chances za longballs 2 alizopata Martineli na ya fofana kuokoa Kwa kiwiko Cha mkono Kona vipi na zenyewe zingezaa goli au magoli. Ile claim ya penalty Kwa Martineli kwngu naona ni Sahihi haikuwa penati sababu beki alianza kucheza mpira
 
Delap
Gittens
Hato
Garnacho
Haya ni matakataka Pro max...yaliyosajiliwa msimu uliopita.... note; matakataka ni mengi sana hapo darajani, nimezungumzia usajili uliopita tu (summer)

Haya huyu Estevao, ngoja tumuangalie sio yule aliyekuwa anaimbwa wonder kid ..... awe makini sana, ancelot anaweza asimuite na akiumuita ataishia benchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom