Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1767556022528.png
 
Man city somtym ni mazwazwa sana, yaani timu haina hata kocha unashindwa kuifunga. Kweli sijapenda.
 
Man city somtym ni mazwazwa sana, yaani timu haina hata kocha unashindwa kuifunga. Kweli sijapenda.
Wachezaji muhimu kuanzia safu ya nyuma hadi katikati ya uwanja walikosekana kwa Chelsea dhidi ya Man City:

---- Lavia ----------Caicedo-----

Cucurella-----Colwill------Fofana-----?

-----------------Sanchez-----------------

Hebu fikiria kama wote wangekuwepo… kiwango kingekuwa kingine kabisa.
 
Kwangu mimi shujaa wetu ni Malo Gusto. Kitaaluma alitengeneza ile NAFASI KUBWA iliyosababisha vurugu kwenye safu ya ulinzi ya Man City na eneo la goli.

Makocha wakiwa interim wanakuwa wazuri sana
Mabadiliko yaliyofanyika yameipa Chelsea uhai
Shape ya backline ya 5 ndio Liam Rosenior anapenda kuitumia
Na mechi ya Fulham atakuwepo huyu kocha Mimi binafsi nimependa soka lake lipo direct ndio inavyotakiwa na amefanya sub za akili alinisurprise kidogo Mimi nilitegemea atamuingiza Garnacho badala yake akaenda na Santos na kila kitu kikabadilika
 
Sema sijajua soka la huyu kocha ni la namna gani?
Soka lake lime fanana na la Maresca kwa maana ya possesive footaball ila kwenye roles za wachezaji wana tofauti kubwa

Rosenior anapenda kuwatumia Wingbacks na backline ya 3 yaani CB watatu
Kwa mfumo wake akina Gittens na Garnacho wanaweza kusota sana

---------------Delap/Joao---------------------

-------Enzo -----------------Palmer------

Neto -----Andrey Santos---Caicedo----Gusto

---Cucurella/Hato ----- Chalobah ------Fofana/James

---------------Sanchez--------------------
 
Sikujua kama Leroy Rosenior ndie baba yake na Liam Rosenior hadi juzi

Leroy Rosenior aliweka historia ya soka kwa muda mfupi wa kuwa meneja wa Torquay United, ambao ulidumu kwa dakika 10 pekee. Babake bosi wa Strasbourg na ambaye sasa anaenda kuwa kocha mkuu wa Chelsea, Liam Rosenior aliona mwanawe akifuata nyayo zake kama mwanasoka na meneja, lakini anatumai kuwa utangamano wa kikazi utaisha.

1767693587283.png
 
Hongereni kwa kupata kocha asiye na uzoefu wowote. Hata hivyo atafanikiwa na kufanya makubwa kama atawaweka bench au kuwauza kabisa january hii magarasa mawili caicedo na lavia.

Asante.
 
Soka lake lime fanana na la Maresca kwa maana ya possesive footaball ila kwenye roles za wachezaji wana tofauti kubwa

Rosenior anapenda kuwatumia Wingbacks na backline ya 3 yaani CB watatu
Kwa mfumo wake akina Gittens na Garnacho wanaweza kusota sana

---------------Delap/Joao---------------------

-------Enzo -----------------Palmer------

Neto -----Andrey Santos---Caicedo----Gusto

---Cucurella/Hato ----- Chalobah ------Fofana/James

---------------Sanchez--------------------
Inamaana hapo back pass zitaendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom