Mkipigwa chini ya tano nampa Olashoga mama la mama vocha ya buku.Malizana kwanza na Bournemouth.
Ninarudia tena.
Chelsea wakipigwa chini ya goli tano ninampa vocha ya buku Olashoga mama la mama
Ninarudia tena.
Chelsea wakipigwa chini ya goli tano ninampa vocha ya buku Olashoga mama la mama
Pale Bundesliga, Bayern ni bayern tuu, hata mende awe kocha bado bayern itabaki halo halo kwenye huo ubora, hawawezi kukosa ubingwa maybe mara tatu mfululizo kisa kocha.Kompany aliishusha Burnley daraja. Bayern wakamchukua, the rest is history
Ndiyo sababu kocha anayefundisha Bayern wenye timu hua wanamhukumu kutokana na CL. Na Kompany hata CL yuko vizuri, amepoteza game moja tu aliyofungwa na Arsenal.Pale Bundesliga, Bayern ni bayern tuu, hata mende awe kocha bado bayern itabaki halo halo kwenye huo ubora, hawawezi kukosa ubingwa maybe mara tatu mfululizo kisa kocha.
[emoji2]Chelkenge [emoji23]
Ila hili jina limekaa utamu sana [emoji23]
Mm kama shabiki wa chelkenge, Leo lazima tupigwe Ila sio nyingiWanetu Leo ndo mnaanza ligi rasmi?? 🔥🔥
Naomba link kama umepataMwenye link ya kuangalia hii mechi live
Kwenye benchi mabeki wa akiba tunaye Mjomba Tosin na Hato. Tuombe Mungu tu Badiashile ajiongeze ajitume vinginevyo tuna hali mbaya leo kwenye mabekiKwa nini Sánchez, Fofana, Cucurella na Caicedo hawapo dhidi ya Man City?
1. Robert Sánchez
2. Wesley Fofana
- Ana tatizo la misuli (muscle issue) lililotokea kwenye mechi dhidi ya Bournemouth.
- Alijaribu kufanya mazoezi Ijumaa lakini hakujisikia vizuri, hivyo akaondolewa kwenye kikosi leo.
3. Marc Cucurella
- Alikuwa anatarajiwa kuanza, lakini alionekana na homa (fever) leo asubuhi, hivyo akatolewa kwenye kikosi dakika za mwisho.
4. Moisés Caicedo
- Ana jeraha la hamstring, jambo lililothibitishwa kwenye taarifa za majeraha za Chelsea kabla ya mechi.
- Caicedo hayupo kwa sababu ya kusimamishwa (suspension).
- Alipata kadi ya njano ya tano ya msimu kwenye sare dhidi ya Bournemouth, hivyo akapata ban ya mchezo mmoja dhidi ya City