Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa pale Kati nimeona kabisa Hakuna partnership nzuri Kati ya Lavia na Gusto ila Kuna partnership nzuri ya Caicedo na Gusto au Caicedo na Lavia nafikiri kocha ameliona hili.

Na kwa kipindi hiki tunamkosa kiungo wetu mbunifu Palmer Kuna haja ya kocha kumchezesha mbele Marc Guiu badala ya Joao Pedro badala yake iwe Joao Pedro awe 10 Tisa acheze Guiu, Joao Pedro anaweza kucheza 9 Kama kukiwa na Palmer
 
Maoni yangu kuhusu mechi ya Forest dhidi ya Chelsea
Romeo Lavia hakuwa katika kiwango chake jana—hali isiyo ya kawaida kwake. Natumaini yuko sswa. Mar Guiu anastahili dakika zaidi; aling'aa sana jana. Chalobah bado anaonekana kutokuwa na utulivu. Lakini Reece James, Robert Sánchez, na Pedro Neto? Walikuwa moto wa kuotea mbali—Hongereni the Blues! ⚡️
1760866684007.png
 
View attachment 3490661
Lini tutaanza kumdiscus Joao Pedro, kuwa nae uwanjani ni sawa tupo pungufu? au tumuache kwanza.

Guiu ni either ana mapafu ya Kante au kuna dawa za kuongeza nguvu anatumia.
 
Kwa mbali sana.. kiatu ya miaka ya nyuma sana hata sijazaliwa? Emuuu 🤣
Hiyo moja ya Ronaldo tutawalipa…
Ballon D or Favorite to win player Goat Nicolas Jackson mmetoa kwa mkopo nani kabaki chalobah ama😆😆
 
Subs:
1) Sanchez
2) Merrick
3) James
4) Acheampong
5) Chalobah
6) Cucurella
7) Walsh
8) Andrey Santos
9) Neto
10) Garnacho
11) Kavuma-McQueen
12) George

1761156001918.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom