Katika misimu yake miwili Chelsea ana G/A ya 42Nani wa kutoa million 80 kwa hilo takataka. Huoni amekosa timu mpaka ameamua kutolewa kwa mkopo.
Uongozi hauna kosa kwenye hili kumbuka hawakutegemea Liam Delap angekaa nje muda mrefu alafu ukizingatia sokoni huwezi kumpata striker mzuri kwa muda huu mdogo uliobaki ndio maana wakaja na maamuzi hayo, kumbuka hata huyo Joao Pedro anaweza kuumia vile vile na pia hatuwezi kumchezesha mechi zote ya michuano yote tunayoshiriki ni risk kubwa na ukizingatia malengo ya msimu huu ni makubwa compare na msimu uliopita, kwahiyo Viongozi wameona mbali naelewa Jackson ana hasira kiasi fulani lakini ndio mazingira yamelazimisha yawe hivyo na pia Chelsea hawajamtreat Kama vile walichofanya kwa chalobah.Shida kuu ya Jackson ni kupata nafasi pindi akirudi na akawa anacheza automatically kinyongo kinaondokaSioni mantiki ya kumrudisha mchezaji ambaye hana nia ya kuchezea Chelsea. Timu inaweza kushinda ligi bila Nicolas Jackson—kama Man City walivyofanya. Huu ni uamuzi dhaifu kutoka kwa uongozi wa Chelsea na kocha mkuu. Maresca anatakiwa kusema wazi: Jackson hahitajiki klabuni. 🔵⚽View attachment 3459312
Tatizo sio kuwa kosa au sio kosa. Uongozi unao haki kabisa kisheria kumrudisha kwa sababu hawakusaini doccuments bado.Uongozi hauna kosa kwenye hili kumbuka hawakutegemea Liam Delap angekaa nje muda mrefu alafu ukizingatia sokoni huwezi kumpata striker mzuri kwa muda huu mdogo uliobaki ndio maana wakaja na maamuzi hayo, kumbuka hata huyo Joao Pedro anaweza kuumia vile vile na pia hatuwezi kumchezesha mechi zote ya michuano yote tunayoshiriki ni risk kubwa na ukizingatia malengo ya msimu huu ni makubwa compare na msimu uliopita, kwahiyo Viongozi wameona mbali naelewa Jackson ana hasira kiasi fulani lakini ndio mazingira yamelazimisha yawe hivyo na pia Chelsea hawajamtreat Kama vile walichofanya kwa chalobah.Shida kuu ya Jackson ni kupata nafasi pindi akirudi na akawa anacheza automatically kinyongo kinaondoka
Cheki hii takataka ..wewe kwanza ni mamlukii hapa rasta haikatwi huu ni urithi wa kizazi na kizazi ..wewe rudi zako arse8 kitambo tunakujua wewe ni mamluki.. 😂😂😂😂Huna lolote takataka wewe, kata hizo rasta. Hizo rasta ndio zinakufanya uwehuke akili.
Kuwa nae tu huyo kijana wa hovyo hamna shida, ale bench mpk price tag ibaki 0 manina. Analetaje kiburi kwa mtu aliemuajiri.Bodi ya Chelsea muda mwingine wanafanya maamuzi kama hawana akili timamu. Katika hili sakata Niko upande wa Jackson.
Hata hawajapanic, unafikiri hawajui wamewaita wote wawili kwa wakat mmoja?! Jackson ni mpuuzi wampeleke akacheze na Under18 huko.Mbona kama uongozi umepanic wamemuita Guiu na Jackson kwa wakati 1 inamaana Jackson atakaa benchi na msimu ujao kama ni kumuuza haitazidi £40m kwa hii sintofahamu
Kisirani na biashara ni vitu viwili tofauti wangechukua hiyo €15mil na mshahara covered juu msimu ujao hata ukiuza £40m bado ni faidaHata hawajapanic, unafikiri hawajui wamewaita wote wawili kwa wakat mmoja?! Jackson ni mpuuzi wampeleke akacheze na Under18 huko.
Bodi wako sahihi na pia hawako sahihiMbona kama uongozi umepanic wamemuita Guiu na Jackson kwa wakati 1 inamaana Jackson atakaa benchi na msimu ujao kama ni kumuuza haitazidi £40m kwa hii sintofahamu
Bodi ya Chelsea iko sahihi hadi sasa kwa sababu baada ya kumuita Marc Guiu sasa wameamua kuendelea na majadiliano na Bayern Munich ili Jackson aende mkopo. Natarajia mkopo utakuwa na kipengele cha lazima kumnunua mwakani baada ya mkopo wake kuisha muda wake.Bodi wako sahihi na pia hawako sahihi
Wako sahihi kwa sababu Jackson ni mwajiri na Chelsea imepata shida
Hawako sahihi kwa sababu baada ya ile reaction, Chelsea wangeachanan naye na kumuita Guiu tu basi